Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT” ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

 Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumiwa rasmi na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Rais wa Master Card kanda ya Afrika ya kati, Bw. Michael Mieback, akiwahutubia wadau wa Benki ya NMB wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu...

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni ya Chanja Kijanja kwa wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard.

Benki ya Exim Tanzania imezindua kampeni ya uhamasishaji ikilenga kuwashawishi zaidi wateja wa benki hiyo kutumia kadi za MasterCard ambapo pamoja na mambo mengine itatoa zawadi mbalimbali kwa wateja hao.
Uzinduzi wa kampeni hiyo mpya iliyopewa jina la 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard' unalenga kutoa fursa ya kipekee kwa wateja wa benki hiyo kufurahia huduma zinazokwenda sambamba na mfumo wa maisha yao kupitia benki hiyo.
Kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya...

 

9 years ago

GPL

FAMILIA: KADI YA BENKI YA MTIKILA IMEIBWA

Na Haruni Sanchawa KUFA kufaana? Tukio la ajali lililosababisha kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani) limeendelea kuibua mazito baada ya familia ya marehemu huyo kubaini kuwa, kadi ya benki ya Mtikila haikuwepo kwenye mkoba wake....Soma===>http://bit.ly/1LlgUR7

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA BARCLAYS YAZINDUA KADI YA ATM DOLA

 Meneja bidhaa wa Benki ya Barclays,Valence Lutegavya akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya ATM ya dola za kimarekani katika mkutano wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Bwana Kumaran Pather.   Meneja bidhaa wa Benki ya Barclays,Valence Lutegavya akionyesha kadi ya ATM ya Dola za Kimarekani katikati ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Barclays Tanzania, Bwana Kumaran Pather na wamwisho ni...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB, Mastercard na EYWA washirikiana kuleta mfumo wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri Tanzania

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya utoaji huduma za usafiri - EYWA, wamezindua mfumo mpya wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri nchini Tanzania. Mfumo huo unaojulikana kama ‘EYWA Transit Solution’, utawawezesha wasafiri kukata tiketi kwa njia ya kidijitali kupitia simu za mkononi na kadi maalumu. 

Suluhisho hili linalenga kutatua changamoto za huduma za usafirishaji nchini kwa kupunguza matumizi ya mfumo wa malipo ya fedha taslimu na kuwa katika njia ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NMB kutoa kadi za MasterCard

BENKI ya National Microfinace (NMB) na MasterCard, wamekubaliano kutoa kadi milioni 1.5 za malipo za MasterCard kwa wateja wake zitakazopunguza utumiaji wa fedha taslimu na kuongeza malipo ya elektroni. Makubaliano...

 

11 years ago

Michuzi

benki ya posta YAZINDUA KADI ZA AKAUNTI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI wa SIMBA NA YANGA

 Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa (wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kadi za akaunti za benki hiyo kwa ajili ya wanachama na mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga leo katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es salaam  Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa akimkabidhi mtangazaji Ephraim Kibonde wa Clouds FM mfano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani