Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB kutoa kadi za MasterCard

BENKI ya National Microfinace (NMB) na MasterCard, wamekubaliano kutoa kadi milioni 1.5 za malipo za MasterCard kwa wateja wake zitakazopunguza utumiaji wa fedha taslimu na kuongeza malipo ya elektroni. Makubaliano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NMB kutoa Kadi Milioni 1.5 za Malipo za MasterCard nchini Tanzania

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Bw.Mark Weissing akiongea na wana habari kuhusu makubaliano kati ya NMB na Master Card katika hafla fupi ya kuweka saini makubaliano hayo. Daniel Monehin, Rais wa Kitengo, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa MasterCardalisema (kulia) na Bw.Mark Weissing, Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB wakieka saini makubaliano.
MasterCard na National Microfinance Bank(NMB), benki kubwa zaidi Tanzania,leo wametangaza makubaliano ya kutoa kadi milioni 1.5 za malipo za MasterCard...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT” ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

 Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumiwa rasmi na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Rais wa Master Card kanda ya Afrika ya kati, Bw. Michael Mieback, akiwahutubia wadau wa Benki ya NMB wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi...

 

10 years ago

TheCitizen

NMB, MasterCard in new tie-up

The National Microfinance Bank (NMB) has signed an agreement with MasterCard that will see the latter rolling out 1.5 million payment cards for the bank’s customers.

 

10 years ago

GPL

NMB KUZINDUA HUDUMA MPYA YA MASTERCARD

Meneja wa Usimamizi wa Biashara za kadi (ATM) na Huduma za Ziada, Chihoma Chihoma akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). ..akionesha mfano wa MasterCard mpya itakavyokuwa.…

 

10 years ago

Michuzi

NMB MasterCard yazinduliwa Mkoa wa Mbeya.

Mkaguzi Mkuu wa ndani wa NMB Bw. Augustino Mbogella (pili kushoto) akimpa mkono Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bw. Nyirembe Sabi baada ya uzinduzi rasmi wa familia ya kadi za NMB MasterCard kwa Mkoa wa Mbeya na Kanda nzima ya Nyanda za Juu. kadi hizo zikiwa ni :Tanzanite, Titanium na World Reward MasterCard. Wakishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Nyada za Juu Bi.Lucresia Makiriye na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa NMB Bw. Filbert Mponzi. Sehemu ya Wageni waalikwa.Shurkani kwa wateja wetu...

 

9 years ago

GPL

NMB MASTERCARD MWANZA SASA RASMI KANDA YA ZIWA

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Baraka Konisaga (pili kushoto) na Mhazini wa NMB - Aziz Chacha wakipongezana baada ya kuzindua NMB Master Card kwa Mkoa wa Mwanza na Kanda nzima ya Ziwa katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.Aina tatu za Kadi za NMB Mastercard zilizozinduliwa ni: Tanzanite kwa ajili ya wateja wa kawaida,Titanium kwa ajili ya wateja wa kati na NMB World Reward MasterCard kwa ajili ya wateja wa kipato cha...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu...

 

9 years ago

Michuzi

NMB MASTERCARD YAZINDULIWA RASMI KWA MKOA WA ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Felix Tibenda (Pili kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker kwa uzinduzi wa NMB Mastercard kwa Mkoa wa Arusha na Kanda nzima ya Kaskazini.Wakishuhudia ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini Bw.Salie Mlay(kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Bw.Abdulmajid Nsekela.

 

9 years ago

GPL

NMB MASTERCARD YAZINDULIWA RASMI KWA MKOA WA ARUSHA‏


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Felix Tibenda (pili kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker kwa uzinduzi wa NMB Mastercard kwa Mkoa wa Arusha na Kanda nzima ya Kaskazini.Wakishuhudia Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini Bw.Salie Mlay(kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Bw.Abdulmajid Nsekela .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani