Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE APOKEA MILIONI 100 TOKA CRDB KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA CRDB KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO MORO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MILIONI 100 KUSAIDIA WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO MKOANI MOROGORO

Rais  Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, (kushoto), alipofika kutoa msaada wa sh. milioni 100 wa benki hiyo kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita. Dk. Kimei alifuatana na baadhi ya viongozi wa benki hiyo Dk. Kimei akifafanua jambo kwa Rais Jakaya Kikwete. Dk. Charles Kimei akitoa maelezo mafupi kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akagua waathirika wa Mafuriko Buguruni jijini dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mack Sadik akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mfereji ulioziba kutokana na uchafu na kusababisha mafuriko katika makazi ya watu eneo la Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita katika mitaa mbalimbali ya Buguruni leo wakati wa zoezi la kuwafariji waathirika wa mafuriko huko Buguruni Mnyamani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto Irene ambaye nyumba yao imeathiriwa na mafuriko huko Buguruni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14, mwaka huu Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma. (PICHA NA IKULU)… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea ujumbe toka kwa Rais wa Sudani ya Kusini Mhe Salvar Kiir jijini Dar

ss1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini  ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.(Picha na IKULU).

ss2

unnamed (6)

 

 

11 years ago

Mwananchi

JK aishukuru CRDB kusaidia Sh100mil kwa waathirika Moro

>Benki ya CRDB, imemkabidhi Rais Jakaya Kikwete hundi ya Sh100 milioni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyozikumba Wilaya tatu za Kilosa, Gairo na Mvomero mkoani Morogoro mwezi uliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani