Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aishukuru CRDB kusaidia Sh100mil kwa waathirika Moro

>Benki ya CRDB, imemkabidhi Rais Jakaya Kikwete hundi ya Sh100 milioni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyozikumba Wilaya tatu za Kilosa, Gairo na Mvomero mkoani Morogoro mwezi uliopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA CRDB KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO MORO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MBEGU ZA MAHINDI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi alipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, sehemu ya mbegu za mahindi tani nne zenye thamani ya shilingi milioni 20 zilizotolewa na Benki hiyo kupitia ombi maalum la Mbunge wa Kuteuliwa anayewakilisha mikoa ya Lindi na Pwani na Mwenyekiti wa mfuko Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA), Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mkoa huo ambao mashamba yao yaliathiwa na mafuriko mapema mwaka huu....

 

11 years ago

Habarileo

Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MORO WAOMBWA KUSAIDIA KUFICHUA WAHALIFU.



Na John Nditi, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro pichani kati, Dk Rajab Rutengwe, amewaomba  wanawake kuanzia ngazi ya mitaa, vitongoji,  vijiji na kata  kushiriki katika suala la ulinzi shirikishi kwa  kuwafichua wahalifu  wanaotishia kuhatarisha uvujifu wa amani ndani ya  mkoa.
Dk Rutengwe alitoa rai hiyo wakati alipozungumza na wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Morogoro , Julai 24, 2015  wilayani Kilosa baada ya kutangazwa kwa  matokeo ya uchaguzi...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaikabidhi BAKWATA milioni 10 kusaidia mapambano dhidi ya Corona

Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), Nuhu Jabir Mruma, mfano wa hundi yenye thamani wa Sh. Milioni 10, zitakazoenda kusaidia kununua vifaa vya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Korona katika maeneo ya ibada nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 20, 2020 kwenye makao makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es salaam.
==     ===   ==
Benki ya CRDB imekabidhi mchango wa shilingi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MILIONI 30 KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Elisha Osati, mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 30,  ikiwa ni mchango wa Benki ya CRDB kusaidia kampeni ya kuelimisha juu ya mapambano ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona. Makabidhiano hayo yalifanyika katika tawi la Benki ya CRDB Azikiwe, jijini Dar es Salaam leo.
=== === ===
Benki ya CRDB imetoa msaada wa shilingi milioni 30 kwa Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani