Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akagua waathirika wa Mafuriko Buguruni jijini dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mack Sadik akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mfereji ulioziba kutokana na uchafu na kusababisha mafuriko katika makazi ya watu eneo la Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita katika mitaa mbalimbali ya Buguruni leo wakati wa zoezi la kuwafariji waathirika wa mafuriko huko Buguruni Mnyamani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto Irene ambaye nyumba yao imeathiriwa na mafuriko huko Buguruni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yakabidhi msaada kwa Shirika la Red Cross Tanzania kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Dumila na Dar es Salaam

1

Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila – Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula, mablanketi, neti za kuzuia mbu na magodoro.

2

 Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

TIGO YAKABIDHI MSAADA KWA SHIRIKA LA RED CROSS TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DUMILA NA DAR ES SALAAM‏

Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila - Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula,...

 

10 years ago

Mwananchi

Waathirika wa mafuriko waomba msaada

Wananchi wa Kata ya Arusha chini, Wilaya ya Moshi wamewaomba viongozi wa Serikali kuwapatia msaada wa chakula na mavazi kutokana na  vitu vyao kusombwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waathirika wa mafuriko wadai kutelekezwa

BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Bulembo ambao walikumbwa na maafa ya nyumba zao kuanguka na nyingine kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua, wamedai kutelekezwa na serikali. Wakizungumza kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula

TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani