Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula

TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika

Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko wapewa mabati 689

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mabati 689 yenye thamani ya Sh milioni 15 kwa wananchi wa wilaya za Hai na Mwanga, waliokumbwa na mafuriko. Mafuriko hayo yalisababisha zaidi ya kaya 500 kukosa makazi.

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TUGHE PWANI WATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

VICTOR MASANGU, RUFIJI
Baadhi ya wananchi Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani wamekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao pamoja na maduka  kuzingirwa na maji  ikiwemo wengine kukumbwa na changamoto ya mazao yao mbali mbali  zaidi ya hekta 4000 kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha maafa  hayo ambayo yamepelekea wananchi kuishi katika mazingira magumu  hivyo kupelekea kuishi katika mazingira magumu.

Hayo yalibainishwa  na wananchi hao wakati wa ziara ambayo...

 

11 years ago

GPL

RED CROSS YAPIGWA JEKI KUWASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA

Rais wa Tanzania Red Cross, Dr. George Nangale,  akifurahia jambo wakati akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Milioni kumi kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii" Vodacom Foundation" Yessaya Mwakifulefule. Fedha hizo zimetolewa kwa chama hicho kwa ajili ya kuimarisha huduma na kusaidia waliokumbwa na maafa ya mafuriko yaliyotokea Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro na kuacha mamia ya kaya bila makazi. Wanaoshuhudia ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Waathirika wa mafuriko waomba msaada

Wananchi wa Kata ya Arusha chini, Wilaya ya Moshi wamewaomba viongozi wa Serikali kuwapatia msaada wa chakula na mavazi kutokana na  vitu vyao kusombwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waathirika wa mafuriko wadai kutelekezwa

BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Bulembo ambao walikumbwa na maafa ya nyumba zao kuanguka na nyingine kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua, wamedai kutelekezwa na serikali. Wakizungumza kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwanjelwa alivyosaidia waathirika wa mafuriko Kyela

MBALI na Mbunge wa Jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dk, Harrison Mwakyembe, kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jimboni humo,  Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, amejitokeza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani