Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waathirika mafuriko wapewa mabati 689

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mabati 689 yenye thamani ya Sh milioni 15 kwa wananchi wa wilaya za Hai na Mwanga, waliokumbwa na mafuriko. Mafuriko hayo yalisababisha zaidi ya kaya 500 kukosa makazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chadema yatoa mabati 850 kwa waathirika mafuriko Kahama

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa msaada wa mabati 850 ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kusaidia waathirika wa mafuriko katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa (pichani), alisema msaada huo una thamani ya Sh. milioni 12.

Dk. Slaa alifafanua kuwa kati ya kiasi hicho cha fedha zilizonunua mabati, Sh. milioni 10 ni sehemu ya ruzuku inayotolewa na...

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula

TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA

 Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la  mvua ya mawe  katika  kata ya Mwakata  ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama,  Benson Mpesya  wa katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi  mabati 176  na mifuko ya saruji 130  vilivyotolewa na kampuni ya bia  ya TBL  kulia anayekabidhi ni  meneja mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa kamati Patrick Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala lengo la msaada huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waathirika wa mafuriko wadai kutelekezwa

BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Bulembo ambao walikumbwa na maafa ya nyumba zao kuanguka na nyingine kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua, wamedai kutelekezwa na serikali. Wakizungumza kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waathirika wa mafuriko waomba msaada

Wananchi wa Kata ya Arusha chini, Wilaya ya Moshi wamewaomba viongozi wa Serikali kuwapatia msaada wa chakula na mavazi kutokana na  vitu vyao kusombwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwanjelwa alivyosaidia waathirika wa mafuriko Kyela

MBALI na Mbunge wa Jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dk, Harrison Mwakyembe, kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jimboni humo,  Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, amejitokeza na...

 

11 years ago

Habarileo

Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani