Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waathirika wa mafuriko waomba msaada

Wananchi wa Kata ya Arusha chini, Wilaya ya Moshi wamewaomba viongozi wa Serikali kuwapatia msaada wa chakula na mavazi kutokana na  vitu vyao kusombwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Vijana waathirika dawa za kulevya Arusha waomba msaada

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

Makundi ya vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wameathirika na dawa za kulevya jijini Arusha yameiomba Serikali na wadau wengine wawasaidie kuwapatia matibabu ya afya zao.

Hatua hii itawawezesha kuondokana na maradhi nyemelezi ambayo yanawasababishia vifo baada ya kinga za miili yao kudhoofika.

comprar kamagra barato

Katika zoezi la kuyashawishi makundi ya vijana yaweze kuondoka mitaani na kwenda kuishi kwenye vituo rasmi ili kupatiwa elimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walioathiriwa na mafuriko Kibondemaji waomba msaada

ZAIDI ya wakazi 27 wa Mtaa wa Kibondemaji ‘A’, Kata ya Mianzini, wilayani Temeke ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko wamewaomba viongozi wa wilaya kufika, kujionea jinsi watakavyowasaidia. Akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

Waathirika wa mafuriko mkoani Lindi wapata msaada wa thamani wa Sh.Milioni 30

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali ya China inayofanya kazi nchini  (Over Seas Chinese  Services Center) imetoa msaada kwa Wananchi waliopata maafa ya mafuriko mkoani Lindi.

Msaada huo umekabidhiwa kwa Chama cha Msalaba Mwekwendu Tanzania Red Cross wenye thamani ya sh.milioni 30.Akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa akikabidhi msaada huo Mkurugenzi wa Taasisi ya China Aston Yi amesema kuwa Tanzania ni China ni familia moja hivyo wanajibu wa kutoa msaada...

 

11 years ago

Michuzi

WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBEYA BADO WANAHITAJI MSAADA - MKUU WA WILAYA

Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(katika)akiongozana na Mkuu wa Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule na Mwenyekiti wa chama cha Msalaba Mwekundu"Red Cross"Mkoa wa Mbeya Bw.Ulimboka Mwakilili,wakikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko wakati walipokwenda kukabidhi msaada wenye thamani ya Shilingi Milion 10 kwa wahanga wa mafuriko wilayani humo. Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(kulia)akipokea msaada wa vyandarua kupitia chama cha Msalaba Mwekundu"Redcross"kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI HAI

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai.Msaada wa magodoro uliotolewa na Benki ya NMB kwa waathirika wa mafuriko yaliyotkea hivi karibuni wilayani Hai.Meneaja wa NMB kanda ya kasakazini Vicky Bishubo akikabidhi msaada kwa mkuu wa wilya ya Hai,Anthony Mtaka huku zoezi hilo likishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo Freeman Mbowe.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa China watoa msaada kwa waathirika wa mafuriko mkaoni Morogoro

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youping akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Leteni Jenerali Sylivester Rioba. msaada huo ambao unathamani ya Shilingi milioni 32 umetolewa kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko mkoani Morogoro. Balozi wa China (katikati) akishikana mikono na Luteni Generali Rioba na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mhe. Athony Mtaka wakati wa hafla ya...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA‏ KYELA: WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBEYA BADO WANAHITAJI MSAADA

Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(katika)akiongozana na  Mkuu wa Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule na Mwenyekiti wa chama cha Msalaba Mwekundu"Red Cross"Mkoa wa Mbeya Bw.Ulimboka Mwakilili,wakikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko wakati walipokwenda kukabidhi msaada wenye thamani ya Shilingi Milion 10 kwa wahanga wa mafuriko wilayani humo. Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(kulia)akipokea...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TUGHE PWANI WATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

VICTOR MASANGU, RUFIJI
Baadhi ya wananchi Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani wamekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao pamoja na maduka  kuzingirwa na maji  ikiwemo wengine kukumbwa na changamoto ya mazao yao mbali mbali  zaidi ya hekta 4000 kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha maafa  hayo ambayo yamepelekea wananchi kuishi katika mazingira magumu  hivyo kupelekea kuishi katika mazingira magumu.

Hayo yalibainishwa  na wananchi hao wakati wa ziara ambayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama

IMGP0400

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, katika kijiji cha Mwakata, wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.

IMGP0399

Mkuu wa wilaya ya Kahama, Bw.Benson Mpesya akionyeshwa Baadhi ya vyakula na vifaa vilivyo gharimu milioni 30, na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw.Ally Maswanya, kama msaada kwa waathirika wa mafuriko, katika kijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani