Walioathiriwa na mafuriko Kibondemaji waomba msaada
ZAIDI ya wakazi 27 wa Mtaa wa Kibondemaji ‘A’, Kata ya Mianzini, wilayani Temeke ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko wamewaomba viongozi wa wilaya kufika, kujionea jinsi watakavyowasaidia. Akizungumza na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 May
Waathirika wa mafuriko waomba msaada
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-TxuN6N5mSkE/VVCetYxuhSI/AAAAAAAA9AE/HdWVjg-TPtQ/s72-c/696.jpg)
CHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU CHAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO WALIOATHIRIWA NA MVUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TxuN6N5mSkE/VVCetYxuhSI/AAAAAAAA9AE/HdWVjg-TPtQ/s640/696.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hr9er0Lbezs/VVCetzHjq2I/AAAAAAAA9AI/KxmhMc7rS5Y/s640/699.jpg)
9 years ago
Habarileo15 Oct
Tenisi walemavu waomba msaada
TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Marais wa mataifa ya Ebola waomba msaada
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada
KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Wafinyanzi waomba msaada wa vifaa vya kisasa
Mratibu wa Mradi wa Ukimwi ILO, Getrude Sima (kushoto) akitoa maelezo ya kikundi cha kina mama ambao ni walengwa wa mradi wa Ukimwi unaofadhiliwa na SIDA chini ya shirika la kazi duniani (ILO), kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, katika ziara ya kikazi ya kutembelea miradi inayosaidiwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani Iringa na Njombe. Kulia ni Practice Specialist HIV/AIDS, Dr...
9 years ago
StarTV13 Nov
Wakulima wa viazi Makota Iringa waomba msaada wa serikali
Wakulima wa viazi katika kijiji cha Makota wilayani Iringa waiomba Serikali kupitia wakala wa Vipimo kuingilia kati tatizo la ujazo wa Lumbesa ambao unadhoofisha sekta ya kilimo na kudumaza uchumi wa wakulima.
Wakulima hao wamesema licha ya kuelekeza nguvu zao katika sekta ya kilimo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi lakini kilimo kimekosa manufaa kwao kutokana na wachuuzi kutumia mbinu mbaya msimu wa uuzwaji wa zao hilo.
Viazi ni miongoni mazao ya chakula na biashara, ambapo zao hili kwa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0908.jpg)
WAFANYANZI WAOMBA MSAADA WA VIFAA VYA KISASA