Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYANZI WAOMBA MSAADA WA VIFAA VYA KISASA‏

Mratibu wa Mradi wa Ukimwi ILO, Getrude Sima (kushoto) akitoa maelezo ya kikundi cha kina mama ambao ni walengwa wa mradi wa Ukimwi unaofadhiliwa na SIDA chini ya shirika la kazi duniani (ILO), kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, katika ziara ya kikazi ya kutembelea miradi inayosaidiwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wafinyanzi waomba msaada wa vifaa vya kisasa

DSC_0908

Mratibu wa Mradi wa Ukimwi ILO, Getrude Sima (kushoto) akitoa maelezo ya kikundi cha kina mama ambao ni walengwa wa mradi wa Ukimwi unaofadhiliwa na SIDA chini ya shirika la kazi duniani (ILO), kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, katika ziara ya kikazi ya kutembelea miradi inayosaidiwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa  mkoani Iringa na Njombe. Kulia ni Practice Specialist HIV/AIDS, Dr...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE‏

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani  William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani. Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi  Chau Chalinze
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya...

 

10 years ago

GPL

KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE‏

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU‏

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI‏

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania...

 

10 years ago

Habarileo

Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba

Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]

The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA

Na: Moh’d Said  Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Tukio hilo lilifanyika leo katika viwanja vya shule ya mtemani mbele ya kamati ya shule hiyo ambapo muhisani na mdau wa maendeleo nchini ambaye pia ni mhadhiri kutoka chuo kikuu cha London, SOAS, Bwana Yussuf Shoka Hamad alikabidhi zawadi hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani