KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.  Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE
10 years ago
GPL
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
11 years ago
GPL
WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA
11 years ago
GPLBANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI
11 years ago
GPLREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
5 years ago
Michuzi
Benki ya NMB yasaidia vifaa vya ujenzi kituo cha Afya Tunduma
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...
5 years ago
CCM Blog
BENKI YA NMB YASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA AFYA TUNDUMA
Benki ya NMB imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...
5 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WANAWAKE TANESCO WAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA WATOTO YATIMA
KATIKA kusherehekea siku ya wanawake duniani, Wafanyakazi Wala ya kazi wanawake wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametembelea kituo cha watoto yatima cha Rahman kilichopo jijini Dodoma na kuwapa misaada mbalimbali.
Wafanyakazi hao kwa umoja wao wamepeleka Mabati, Mbao, Mifuko ya Saruji, Misumari na Milango kwa ajili ya kumalizia baadhi ya mabweni lakini pia walibeba vyakula kama Mchele, Mafuta ya kupikia, Maji na Juisi.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo...