WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA
![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJMH*Oee7lG5ukLXW8cT3hIIVVQIydSVWHz7IutnIWClzg1FgVTmyKGnGBrjXuVqyYlA9PhnkTW*Hu3HKDwx1HfT/001.UMRA.jpg?width=650)
Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa Vodacom Tanzania ShamsaHamud(anayewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bzW9hcMYB4k/U9dbk59TtpI/AAAAAAAF7lo/e-veQju4c-w/s72-c/unnamed+(22).jpg)
WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bzW9hcMYB4k/U9dbk59TtpI/AAAAAAAF7lo/e-veQju4c-w/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ddWJhEeKFok/U9dblB8cE2I/AAAAAAAF7mQ/ScNO0sYfdJ0/s1600/unnamed+(23).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-431cJ27sTJI/VNs0d1-2L_I/AAAAAAAHDC4/Z2LiAqyPdfU/s72-c/001.MALAIKA.jpg)
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MALAIKA KINONDONI
![](http://2.bp.blogspot.com/-431cJ27sTJI/VNs0d1-2L_I/AAAAAAAHDC4/Z2LiAqyPdfU/s1600/001.MALAIKA.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XtkayuRkDNQ/VNs0dEoBt8I/AAAAAAAHDC0/Bt2UNOeu2YU/s1600/002.MALAIKA.jpg)
10 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA
11 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
TCAA watoa msaada kituo cha yatima cha New Hope Family kilichopo Mwasonga Kigamboni jijini Dar
Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family Maiko Lugendo, ( kulia) akimuonyesha Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitumbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya kwenye kituo hicho kilichopo Mwasonga Kata ya Kisarawe 2 Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Hellen Erasto.
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ali...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s72-c/DSCF8984.jpg)
VWG watoa msaada kwa yatima wa kituo cha chakuwama jijini dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s640/DSCF8984.jpg)
VWG iliamua kutembelea kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yake ya kutimiza mwaka mmoja toka kuanzishwa kwake.
Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo, Mwenyekiti wa VWG, Bi....
10 years ago
MichuziUJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVLykn6roK1V-NcPNVNivbcRh0PpCmbNfDzzk8VXv9JrdBhwX7GsDKvUaYWQ1CoJm9Yt9OSpbuvEuhOCXNvcq-IT/001.MALAIKA.jpg?width=750)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEWA WATOTO YATIMA
5 years ago
MichuziWANAWAKE WAPWANI GENERATION WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIBAHA
NA VICTOR MASANGU, KIBAHAWatoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha Sharom kilichopo kata ya Msangani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani wamemuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwasaidia kwa hali na mali kuwasaidia kuwatatulia changamoto mbali mbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mahitaji ya chakulai,nguo, huduma za matibabu pamoja na ujenzi wa jengo la nyumba kwa ajili ya kuweza kuishi.
Baadhi ya watoto hao akiwemo Sara Yendemba Dickson Michael na wakizungumza...