KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE
Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang’ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--5yziNpQh4E/XtoS_-oyy6I/AAAAAAALsrM/ObsQaJdV5kkiNpkdj4J7C9WqpFq6dNbswCLcBGAsYHQ/s72-c/Tunduma_0330.jpg)
BENKI YA NMB YASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA AFYA TUNDUMA
Benki ya NMB imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--5yziNpQh4E/XtoS_-oyy6I/AAAAAAALsrM/ObsQaJdV5kkiNpkdj4J7C9WqpFq6dNbswCLcBGAsYHQ/s72-c/Tunduma_0330.jpg)
Benki ya NMB yasaidia vifaa vya ujenzi kituo cha Afya Tunduma
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Zl0EJ7n4qrg/XmPSkijsaMI/AAAAAAALhv4/V3jb_PYAu0gRLDuXDFwAL5LGTSPBAtHTwCLcBGAsYHQ/s72-c/9c93071b-f496-4abd-8350-1a913221848a.jpg)
WAFANYAKAZI WANAWAKE TANESCO WAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA WATOTO YATIMA
KATIKA kusherehekea siku ya wanawake duniani, Wafanyakazi Wala ya kazi wanawake wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametembelea kituo cha watoto yatima cha Rahman kilichopo jijini Dodoma na kuwapa misaada mbalimbali.
Wafanyakazi hao kwa umoja wao wamepeleka Mabati, Mbao, Mifuko ya Saruji, Misumari na Milango kwa ajili ya kumalizia baadhi ya mabweni lakini pia walibeba vyakula kama Mchele, Mafuta ya kupikia, Maji na Juisi.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s72-c/1.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PGGOjhKYOok/VUx3SuqK4yI/AAAAAAAA1uU/ByALKEDocRQ/s640/9.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-OEyrRKU7lUI/VUx2po2uLDI/AAAAAAAA1sE/96UT9aILrwk/s640/01.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s72-c/unnamed+(2).jpg)
WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s0fgi4QraIQ/U9EFeMZ8jGI/AAAAAAAF5v8/aZVMceZnFh4/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
Bongo521 Oct
YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe