REDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati),akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano wa TV1, Mponjoli Katule.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA

11 years ago
GPLMSONDO NGOMA WAITEKA TCC CHANG'OMBE KWA BURUDANI
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki waliohudhuria onesho lao lililofanyika TCC Chang'ombe usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto ni Eddo Sanga, Othumani Kambi, Shabani Dede na Hassan Moshi.
Wapuliza ara wa Bendi ya Msondo Ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande.…
...
11 years ago
GPL
TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR
Gurumo (kulia) akipagawisha huku akisindikizwa na Hafsa Kazinja na Hussein Jumbe (kushoto). Hussein Jumbe na mcharaza gitaa maarufu, Miraj Shakashia 'Shakazulu' wakinogesha mambo. Sehemu ya…
11 years ago
GPLMSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR
Wasanii wa Bongo Fleva wakiuaga mwili wa marehemu Yesaya Ambikile 'YP' katika Viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam. Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanj vya TCC, Chang'ombe, Dar.…
11 years ago
MichuziRedd's Miss Temeke kujulikana ijumaa ndani ya TCC Club,Chang'ombe, jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPL
10 years ago
GPLKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa...
11 years ago
GPL
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.
 Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza...
10 years ago
GPL
WASHINDI WA SHINDANO LA 'GENIUS-CUP' WAZAWADIWA
Mwanafunzi Fuad Thabit kutoka Feza Boys Secondary aliyeibuka mshindi wa kwanza shule za sekondari katika Shindano la Genius-Cup akipokea cheti na zawadi yake ya shilingi 300,000 toka kwa mgeni rasmi wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu wa Utafiti taasisi ya COSTECH, Athman Mgumia.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania