MSONDO NGOMA WAITEKA TCC CHANG'OMBE KWA BURUDANI
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki waliohudhuria onesho lao lililofanyika TCC Chang'ombe usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto ni Eddo Sanga, Othumani Kambi, Shabani Dede na Hassan Moshi. Wapuliza ara wa Bendi ya Msondo Ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-cTTy3jB8nC4/VFYMCXRwthI/AAAAAAAGvDk/Hsw_ah9u5Hw/s72-c/7.jpg)
JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...
10 years ago
GPLYALIYOJIRI JANA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-rA6CQ1j_Mg8/VadqyxQut-I/AAAAAAAHqDE/rSZbZxEU4K4/s72-c/th%2B%25281%2529.jpg)
Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe
![](http://3.bp.blogspot.com/-rA6CQ1j_Mg8/VadqyxQut-I/AAAAAAAHqDE/rSZbZxEU4K4/s1600/th%2B%25281%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HyHKfhkyu64/VadqygfWZpI/AAAAAAAHqDA/T15JU4S-Khg/s1600/th.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-1MmND5lN-IXLC8pRuqTVxXo-8-z5qgl9RUOo6T*QU8sa3LMzChUdnDKMvncR2Nfvi2ZpwQ8XapWsorOdwR*0yS/GURUMO1.jpg?width=650)
TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR
10 years ago
Bongo521 Oct
YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe
11 years ago
GPLREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne lafana TCC Chang’ombe
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile mara baada ya kuwasili viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam ambapo linafanyika tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Na Eleuteri Mangi
Kuelekea kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru Tanzania Bara, Wizara ya Fedha na Taasisi zake imeanza sherehe hizo kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzQleMpK13Xzrfq*lMbv1YX*LgqFxG5bAFZhRhL65mb9tF3m6dP6fbkX0O5FTPSw0KsFQTTyF5srnrpo6kfCw1AB/grumo.jpg?width=650)
MACHO YOTE LEO NI GURUMO 53 TCC CLUB CHANG’OMBE
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho
Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...