Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho

Baadhi ya Wanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma 
 Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club  Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club

NANI zaidi kati ya wakongwe na mahasimu wakubwa wa muziki wa dansi nchini Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Sikinde) itajulikana leo wakati miamba hao wa muziki wa dansi watapambana kwenye ukumbi wa TCC Club Chang’ombe. Mashabiki wa bendi hizo wanatarajia kumiminika kwa wingi kushuhudia mtanange huo ambayo pia itatumika kusherekea Sikukuu ya Krismasi. Pambano hilo linatarajia kuanzia mchana, linafanyika siku chache tu baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB


BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na  Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao   siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...

 

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe




SikindeMAGWIJI wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wataonyeshakana kazi katika Sikukuu ya Iddi Mosi kwenye viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.MsondoMpambano huo ujulikanao kama ‘Nani Mtani Jembe’ umeandaliwa na Keen Arts chini ya udhamini wa Konyagi.Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga ‘Kaps’, amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Idd el Fitr.Kapinga alisema kuwa pia pambano hilo litaamua ni bendi gani kali kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

10 years ago

Vijimambo

JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB

Muhidin Maalim Gurumo akiwatembelea vijana wake mazoezini Abdalla Gama (shoto) na Miraji Shakashia wakila tizi…

 

11 years ago

GPL

MSONDO NGOMA WAITEKA TCC CHANG'OMBE KWA BURUDANI

Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki waliohudhuria onesho lao lililofanyika TCC Chang'ombe usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto ni Eddo Sanga, Othumani Kambi, Shabani Dede na Hassan Moshi.
Wapuliza ara wa Bendi ya Msondo Ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande.…
...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI JANA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE

The Grand Utalii Jazz Band, wakiongozwa na Hamza Kalala (kushoto) na Rajabu Zomboko (katikati) wakifanya yao. Mshereheshaji, Masoud Masoud akizinadi CD za albamu mpya ya Msondo Ngoma. Baadhi ya mashabiki wa Msondo wakinunua CD hizo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Sikinde, Msondo hapatoshi leo

Wakongwe wa muziki wa dansi, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” leo mchana wazitachuana vikali kwenye Viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani