Sikinde, Msondo hapatoshi leo
Wakongwe wa muziki wa dansi, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra “Sikinde†leo mchana wazitachuana vikali kwenye Viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Msondo, Sikinde kupambana Krismasi
WAFALME wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wanatarajiwa kupambana siku ya Krismasi kwenye viwanja vya TCC Club...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Msondo, Sikinde kuonyeshana umwamba
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho
Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...
10 years ago
MichuziNani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB
BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...
10 years ago
MichuziNani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe
SikindeMAGWIJI wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wataonyeshakana kazi katika Sikukuu ya Iddi Mosi kwenye viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.MsondoMpambano huo ujulikanao kama ‘Nani Mtani Jembe’ umeandaliwa na Keen Arts chini ya udhamini wa Konyagi.Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga ‘Kaps’, amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Idd el Fitr.Kapinga alisema kuwa pia pambano hilo litaamua ni bendi gani kali kati ya...
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Michuano ya UEFA hapatoshi leo
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Ukawa, NEC hapatoshi leo
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na vyama vya siasa, leo wanatarajia kukutana katika kikao cha pamoja ambacho kinaweza kuibua hoja kali kutoka miongoni mwa wadau.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Bunge uliotolewa Februari 4, mwaka huu baada ya Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili kuweza kujadili hatua ya NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia...