Msondo, Sikinde kuonyeshana umwamba
Bendi za muziki wa dansi yenye upinzani wa jadi nchini, Msondo Music Band (Baba ya Muziki) na DDC Mlimani Park Orchestra (Sikinde Ngoma ya Ukae), watapambana katika Desemba 25 katika Viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Msondo, Sikinde kupambana Krismasi
WAFALME wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wanatarajiwa kupambana siku ya Krismasi kwenye viwanja vya TCC Club...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Sikinde, Msondo hapatoshi leo
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho
Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...
10 years ago
MichuziNani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB
BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...
10 years ago
Michuzi%2B(1).jpg)
Bingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club
%2B(1).jpg)
10 years ago
Michuzi
Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe


11 years ago
Michuzi
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Tusiime yaendeleza umwamba kielimu
WAKATI Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kwa mwaka wa pili mfululizo katika matokeo ya darasa la saba kitaifa, shule ya Msingi ya Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Michuzi06 Sep
VIJANA WAONYESHANA UMWAMBA KATIKA MAPAMBANO YA NDONDI JIJINI DAR