Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msondo, Sikinde kupambana Krismasi

WAFALME wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’,  wanatarajiwa kupambana siku ya Krismasi kwenye viwanja vya TCC Club...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB


BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na  Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao   siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...

 

11 years ago

Mwananchi

Msondo, Sikinde kuonyeshana umwamba

Bendi za muziki wa dansi yenye upinzani wa jadi nchini, Msondo Music Band (Baba ya Muziki) na DDC Mlimani Park Orchestra (Sikinde Ngoma ya Ukae), watapambana katika Desemba 25 katika Viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.

 

11 years ago

Mwananchi

Sikinde, Msondo hapatoshi leo

Wakongwe wa muziki wa dansi, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” leo mchana wazitachuana vikali kwenye Viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho

Baadhi ya Wanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma 
 Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club  Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...

 

10 years ago

Michuzi

Bingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club

NANI zaidi kati ya wakongwe na mahasimu wakubwa wa muziki wa dansi nchini Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Sikinde) itajulikana leo wakati miamba hao wa muziki wa dansi watapambana kwenye ukumbi wa TCC Club Chang’ombe. Mashabiki wa bendi hizo wanatarajia kumiminika kwa wingi kushuhudia mtanange huo ambayo pia itatumika kusherekea Sikukuu ya Krismasi. Pambano hilo linatarajia kuanzia mchana, linafanyika siku chache tu baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe




SikindeMAGWIJI wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wataonyeshakana kazi katika Sikukuu ya Iddi Mosi kwenye viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.MsondoMpambano huo ujulikanao kama ‘Nani Mtani Jembe’ umeandaliwa na Keen Arts chini ya udhamini wa Konyagi.Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga ‘Kaps’, amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Idd el Fitr.Kapinga alisema kuwa pia pambano hilo litaamua ni bendi gani kali kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikinde yarejea ‘Old Trafford’

BAADA ya miaka minne, hatimaye kundi zima la Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ limetanagaza kurejea rasmi ndani ya ukumbi wa DDC Kariakoo jijini Dar es Salaam. Ukumbi ambao mashabiki wa ‘Nginde’...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikinde yajichimbia Bagamoyo 

HOMA ya pambano la watani wa jadi katika muziki wa dansi nchini kati ya Mlimani Park ‘Wana Sikinde’ na Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ litakalofanyika Desemba 25, imeanza kupanda huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani