Bingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club
NANI zaidi kati ya wakongwe na mahasimu wakubwa wa muziki wa dansi nchini Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Sikinde) itajulikana leo wakati miamba hao wa muziki wa dansi watapambana kwenye ukumbi wa TCC Club Chang’ombe. Mashabiki wa bendi hizo wanatarajia kumiminika kwa wingi kushuhudia mtanange huo ambayo pia itatumika kusherekea Sikukuu ya Krismasi. Pambano hilo linatarajia kuanzia mchana, linafanyika siku chache tu baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho
Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...
10 years ago
MichuziNani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB
BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...
10 years ago
MichuziNani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe
SikindeMAGWIJI wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wataonyeshakana kazi katika Sikukuu ya Iddi Mosi kwenye viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.MsondoMpambano huo ujulikanao kama ‘Nani Mtani Jembe’ umeandaliwa na Keen Arts chini ya udhamini wa Konyagi.Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga ‘Kaps’, amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Idd el Fitr.Kapinga alisema kuwa pia pambano hilo litaamua ni bendi gani kali kati ya...
11 years ago
MichuziMsondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
11 years ago
GPLMASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Sikinde, Msondo hapatoshi leo
10 years ago
MichuziRedd's Miss Temeke kujulikana ijumaa ndani ya TCC Club,Chang'ombe, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziKANDANDA DAY 2015 KUFANYIKA OKTOBA 17, 2015 TCC CLUB CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM
mwaka huu,Chang’ombe, Dar es Salaam.
Katika tamasha la mwaka huu,mbali na kuwepo kwa mechi kati ya Timu DizoMoja na Timu Ismail, lakini pia kutakuwa na matukio mbalimbali ya kimichezo na kijamii
yatakayoendelea. Mratibu wa tamasha hilo Patrick Dumulinyi,alitanabaisha kuwa siku hiyo, kutakuwepo na mchezo wa utangulizi ambao utahusisha kituo cha...
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Msondo, Sikinde kupambana Krismasi
WAFALME wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wanatarajiwa kupambana siku ya Krismasi kwenye viwanja vya TCC Club...