Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB

Muhidin Maalim Gurumo akiwatembelea vijana wake mazoezini Abdalla Gama (shoto) na Miraji Shakashia wakila tizi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA, AOMBA KUSHIRIKI TAMSHA LA GURUMO JUMAMOSI HII TCC CLUB

Christian Bella kutoka Malaika Music Band. MWIMBAJI anayesadikika kuwa na sauti tamu zaidi kwa sasa, Christian Bella kutoka Malaika Music Band, amesema atashiriki tamasha la Gurumo litakalofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja wa TCC Club Chang’ombe. Mratibu wa tamasha hilo, Juma Mbizo amesema Christian Bella, ameomba awekwe kwenye ratiba ya waburudishaji ambapo atapanda kuimba japo wimbo mmoja kama ishara ya kuonyesha...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde ngoma nzito TCC Club kesho

Baadhi ya Wanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma 
 Magwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music Band ‘Mambo Hadharani’ na Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma Ya Ukae” kesho mchana watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club  Chang’ombe, Temeke.
Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao.
Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo.
Kapinga alisema...

 

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde siku ya Krismasi TCC CLUB


BAADA ya mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa soka, Wafalme wa muziki wa dansi nchini bendi pizani za Msondo Ngoma na  Mlimani Park Orchestra (Wana Sikinde Ngoma ya Ukae) nao watakuwa na Mtani jembe yao   siku ya Krismasi katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.
Mpambano huo wa Mtani Jembe umeandaliwa na Keen Arts na Bob Entertainment.Mratibu wa mchuano huo Joseph Kapinga amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Krismasi na kufunga mwaka 2014.Mpambano na...

 

10 years ago

Michuzi

Bingwa Msondo, Sikinde kujulikana leo Christmas day TCC Club

NANI zaidi kati ya wakongwe na mahasimu wakubwa wa muziki wa dansi nchini Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra (Sikinde) itajulikana leo wakati miamba hao wa muziki wa dansi watapambana kwenye ukumbi wa TCC Club Chang’ombe. Mashabiki wa bendi hizo wanatarajia kumiminika kwa wingi kushuhudia mtanange huo ambayo pia itatumika kusherekea Sikukuu ya Krismasi. Pambano hilo linatarajia kuanzia mchana, linafanyika siku chache tu baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga kwa mchezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Nani Mtani Jembe ya Msondo, Sikinde ni Iddi Mosi TCC Club Chang’ombe




SikindeMAGWIJI wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’, wataonyeshakana kazi katika Sikukuu ya Iddi Mosi kwenye viwanja vya TCC Club, Chang’ombe.MsondoMpambano huo ujulikanao kama ‘Nani Mtani Jembe’ umeandaliwa na Keen Arts chini ya udhamini wa Konyagi.Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga ‘Kaps’, amesema pambano hilo litakuwa la kusherekea sikukuu ya Idd el Fitr.Kapinga alisema kuwa pia pambano hilo litaamua ni bendi gani kali kati ya...

 

11 years ago

GPL

MACHO YOTE LEO NI GURUMO 53 TCC CLUB CHANG’OMBE

HATIMAYE ile siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi, imewadia, ni GURUMO 53 ndani ya viwanja vya TCC Club, Chang’ombe leo Jumamosi Disemba 14. Kama tangazo linavyojionyesha, ni tamasha kubwa la muziki wa dansi la kustaafu kwa gwiji Muhidin Maalim Gurumo aliyeitumikia fani hiyo kwa miaka 53 mfululizo. Gurumo ataimba angalau wimbo mmoja au zaidi wa kila bendi aliyopitia katika safari yake ndefu kimuziki. Hadi kustaafu kwake...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR

Gurumo (kulia) akipagawisha huku akisindikizwa na Hafsa Kazinja na Hussein Jumbe (kushoto). Hussein Jumbe na mcharaza gitaa maarufu, Miraj Shakashia 'Shakazulu' wakinogesha mambo. Sehemu ya…

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani