Redd's Miss Temeke kujulikana ijumaa ndani ya TCC Club,Chang'ombe, jijini Dar es Salaam.
Warembo watakaoshiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Mohamed (TID), anayemiliki bendi ya Top in Town,itakayotoa burudani katika mashindano hayo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Mohamed (TID), anayemiliki bendi ya Top in Town, akielezea katika mkutano na waandishi wa habari, katika klabu ya City Sports & Lounge jinsi alivyojiandaa kutoa burudani katika mashindano ya Redd's Miss Temeke yatakayofanyika...
Michuzi