Michuano ya UEFA hapatoshi leo
Kivumbi cha michuano ya Kombe la UEFA, Chelsea na PSG na Borrusia Dortmund dhidi ya Real Madrid
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Michuano ya Uefa kuendelea leo
LONDON, ENGLAND
MICHEZO ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, ambapo michezo nane itapigwa.
Katika kundi E, Barcelona watakuwa kwenye Uwanja wa nyumbani Camp Nou na kuwakaribisha wapinzani wao, Bayern Leverkusen, kutoka nchini Ujerumani, mchezo ambao unaonekana kuwa na mvuto wa aina yake.
Katika mchezo wa kwanza wa michuano hii Barcelona ilikutana na AS Roma na matokeo yakawa 1-1, hata hivyo, katika mchezo wa leo Barcelona...
9 years ago
Bongo527 Nov
Matokea ya michuano ya UEFA Europa League
![article-3335573-2ED8322A00000578-942_964x386](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3335573-2ED8322A00000578-942_964x386-300x194.jpg)
Usiku wa November 26 ilipigwa michezo ya mechi za michuano ya UEFA Europa League, Katika viwanja mbali mbali na haya ndo matokea ya mechi hizo. klabu ya Liverpool ambayo inashiriki michuano hiyo ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Bordeaux katika dimba la Anfield.
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Barani Ulaya hapatoshi leo
BARCELONA, HISPANIA
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali huku mchezo ambao unatarajiwa kutazamwa na idadi kubwa ya mashabiki ni kati ya Barcelona dhidi ya AS Roma, wakati mchezo mkubwa wa kesho ni kati ya Juventus dhidi ya Manchester City.
Katika kundi E, Barcelona wanaongoza kundi hilo huku wakiwa na pointi 10, wakati wapinzani wake Roma wakiwa na pointi tano, katika mchezo wa leo Roma wanatafuta ushindi ili kuweza kujiweka sawa lakini...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Simba, KCCA hapatoshi leo
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Jangwani Hapatoshi kuanzia leo
Licha ya mamlaka ya hali ya hewa kutangaza mvua kali na upepo na kuwataka watu wasitoke njee.watu wameamua kulala hapo hapo.
The post Jangwani Hapatoshi kuanzia leo appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Ukawa, NEC hapatoshi leo
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na vyama vya siasa, leo wanatarajia kukutana katika kikao cha pamoja ambacho kinaweza kuibua hoja kali kutoka miongoni mwa wadau.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Bunge uliotolewa Februari 4, mwaka huu baada ya Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili kuweza kujadili hatua ya NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Sikinde, Msondo hapatoshi leo
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Redd’s Miss Mbagala hapatoshi leo
SHINDANO la kumsaka mnyange wa Redd’s Miss Mbagala, linatarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa shindano hilo,...