Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jangwani Hapatoshi kuanzia leo

Licha ya mamlaka ya hali ya hewa kutangaza mvua kali na upepo na kuwataka watu wasitoke njee.watu wameamua kulala hapo hapo.

The post Jangwani Hapatoshi kuanzia leo appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya UEFA hapatoshi leo

Kivumbi cha michuano ya Kombe la UEFA, Chelsea na PSG na Borrusia Dortmund dhidi ya Real Madrid

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa, NEC hapatoshi leo

SLAANa Arodia Peter, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na vyama vya siasa, leo wanatarajia kukutana katika kikao cha pamoja ambacho kinaweza kuibua hoja kali kutoka miongoni mwa wadau.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Bunge uliotolewa Februari 4, mwaka huu baada ya Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili kuweza kujadili hatua ya NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia...

 

11 years ago

Mwananchi

Sikinde, Msondo hapatoshi leo

Wakongwe wa muziki wa dansi, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” leo mchana wazitachuana vikali kwenye Viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.

 

9 years ago

Mtanzania

Barani Ulaya hapatoshi leo

e50e9a5f9f7a76e1d4d560c4ce6fc2a7BARCELONA, HISPANIA

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali huku mchezo ambao unatarajiwa kutazamwa na idadi kubwa ya mashabiki ni kati ya Barcelona dhidi ya AS Roma, wakati mchezo mkubwa wa kesho ni kati ya Juventus dhidi ya Manchester City.

Katika kundi E, Barcelona wanaongoza kundi hilo huku wakiwa na pointi 10, wakati wapinzani wake Roma wakiwa na pointi tano, katika mchezo wa leo Roma wanatafuta ushindi ili kuweza kujiweka sawa lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, KCCA hapatoshi leo

Simba leo itakuwa na kibarua kigumu mbele ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa fainali wa Kombe la Mapinduzi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Kagera hapatoshi Taifa leo

KIKOSI cha Simba kilitua jijini Dar es Salaam jana kikitokea Tanga tayari kwa kukabiliana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Mbagala hapatoshi leo

SHINDANO la kumsaka mnyange wa Redd’s Miss Mbagala, linatarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa shindano hilo,...

 

11 years ago

Michuzi

Hapatoshi leo Redd’s Miss Pani 2014

NA  HAPPINESS MNALE
KWA mara ya kwanza  kwenye ukumbi wa Maisha Plus (Pilice Mess) kutafanyika tukio la aina yake la kumsaka Redds Miss Pwani 2014 usiku wa leo.
Katika Shindano hilo ambalo  litakuwa ndiyo sehemu ya kuuzinduz ukumbi huo ambao leo  hii ndiko  kutakuwa na burudani kubwa ya muziki wa dansi kutoka katika  bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Next level’ wakiongozwa na  mzawa wa mkoa wa Pwani  Ally Choki almaarufu kama ‘Mwarabu wa Kibaha’ ambao nao wameahidi kutoa burudani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI BASKETBALL REUNIO LEO PATAKUA HAPATOSHI

Kikapu kitapigiwa hapaWachezaji wakijifua
PAZI BASKETBALL AND ITS FAMILY MEMBERS HAS ORGANIZED A BASKETBALL BONANZA THAT IS SCHEDULED TO TAKE PLACE ON MARCH 13TH -15TH, 2015 IN HOUSTON, TEXAS.EVENTS:●      ON FRIDAY 13TH OF MARCH, 2015 NETWORKING

●      LUNCH, DINNER, AND DRINKS WILL BE AVAILABLE AT MADIKODIKO LOCATION

BASKETBALL BONANZA LOCATION●      ON SATURDAY 14TH, FROM 10:00A.M TO 5:00 PM, AT 8601 CHIMNEY ROCK ROAD, HOUSTON TEXAS, US.

MUSICBY DJ LUKE
●       NEW, OLD SCHOOL MUSICS, AND THE...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani