Hapatoshi leo Redd’s Miss Pani 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-_kCLWhaQJM8/U6vmODUIsNI/AAAAAAAFtCw/VeHLE1pqh98/s72-c/unnamed+(3).jpg)
NA HAPPINESS MNALE
KWA mara ya kwanza kwenye ukumbi wa Maisha Plus (Pilice Mess) kutafanyika tukio la aina yake la kumsaka Redds Miss Pwani 2014 usiku wa leo.
Katika Shindano hilo ambalo litakuwa ndiyo sehemu ya kuuzinduz ukumbi huo ambao leo hii ndiko kutakuwa na burudani kubwa ya muziki wa dansi kutoka katika bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Next level’ wakiongozwa na mzawa wa mkoa wa Pwani Ally Choki almaarufu kama ‘Mwarabu wa Kibaha’ ambao nao wameahidi kutoa burudani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Redd’s Miss Mbagala hapatoshi leo
SHINDANO la kumsaka mnyange wa Redd’s Miss Mbagala, linatarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa shindano hilo,...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Redd’s Miss Tanzania 2014 kupatikana leo Dar
WASICHANA 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, jioni ya leo watapanda jukwaani kujaribu bahati katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Warembo hao waliopo kambini kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
11 years ago
MichuziRedd's miss Kinondoni 2014 waanza kujifua
Washiriki wa shindano la Redd’s miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hotel ya Picolo jijini Dar es Salaam, Jumla ya warembo 20 wapo mazoezini kujiandaa na shindano litakalofanyika ijumaa 15/08/2014 katika Fukwe za Escape One kwa kiingilio cha 10,000 na 30,000 kwa VIP.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Redd’s Miss Iringa 2014 yaota mbawa
KINYANG’ANYIRO cha kumsaka mlimbwende wa Mkoa wa Iringa, ‘Redd’s Miss Iringa 2014’ kilichotakiwa kufanyika jana, kimeota mbawa baada ya aliyekuwa mratibu na muandaaji wa shindano hilo mwaka huu kutoweka katika...
11 years ago
GPLMISS REDD’S SHINYANGA 2014 APATIKANA
10 years ago
Bongo512 Oct
Picha: Red Carpet — Redd’s Miss Tanzania 2014
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s72-c/1.jpg)
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg)
Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika...