Matokea ya michuano ya UEFA Europa League
Usiku wa November 26 ilipigwa michezo ya mechi za michuano ya UEFA Europa League, Katika viwanja mbali mbali na haya ndo matokea ya mechi hizo. klabu ya Liverpool ambayo inashiriki michuano hiyo ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Bordeaux katika dimba la Anfield.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Matokeo ya ligi ya Europa (UEFA Europa League)
Ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League) iliendelea hapo kwa michezo 24 iliyochezwa katika viwanja 12 tofauti. Yafuatayo ni matokeo ya michezo hiyo;
GROUP A;
Ajax 0 – 0 Fenerbahçe
Celtic 1 – 2 Molde
GROUP B;
FC Sion 1 – 1 Bordeaux
Rubin Kazan 0 – 1 Liverpool
GROUP C;
Borussia Dortmund 4 – 0 FK Qabala
FK Krasnodar 2 -1 PAOK Salonika
GROUP D;
Club Brugge 1 – 0 Legia Warsaw
Napoli 5 – 0 FC Midtjylland
GROUP E;
Dinamo Minsk 1 – 2 Villarreal
Viktoria Plzen 1 – 2 Rapid Vienna
GROUP F;
FC...
5 years ago
Goal.Com18 Feb
UEFA Super League: 2020 Champions League a glimpse into European football's future
9 years ago
Bongo511 Dec
Matokeo ya Michuano ya Europa ligi

Michuano ya Europa ligi imeendelea usiku wa Dec 10 jana kwa mechi kadhaa,Miongoni mwa mechi hizo ni mchezo kati ya FC Sion ya Uswiss dhidi ya Liverpool ya Uingereza ambazo zimetoshana nguvu ya bila kufungana Tottenham imeiadhibu Monaco kwa ushindi wa bao 4 – 1,
MATOKEO MECHI ZA UEFA EUROPA LEAGUE JANA
Lech Poznan 0 – 1 FC Basel
Athletic Club 2 – 2 AZ
St Etienne 1 – 1 Lazio
Sporting Lisbon 3 – 1 Besiktas
RSC Anderlecht 2 – 1 FK Qarabag
Fiorentina 1 – 0 Belenenses
Partizan Belgrade 1 – 3 FC...
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Michuano ya Europa ligi yaendelea
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Michuano ya Uefa kuendelea leo
LONDON, ENGLAND
MICHEZO ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, ambapo michezo nane itapigwa.
Katika kundi E, Barcelona watakuwa kwenye Uwanja wa nyumbani Camp Nou na kuwakaribisha wapinzani wao, Bayern Leverkusen, kutoka nchini Ujerumani, mchezo ambao unaonekana kuwa na mvuto wa aina yake.
Katika mchezo wa kwanza wa michuano hii Barcelona ilikutana na AS Roma na matokeo yakawa 1-1, hata hivyo, katika mchezo wa leo Barcelona...
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Michuano ya UEFA hapatoshi leo
5 years ago
UEFA.Com14 Feb
Champions League Fantasy: Big-money assets | UEFA Champions League
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Liverpool waambulia sare Europa League