Michuano ya Uefa kuendelea leo
LONDON, ENGLAND
MICHEZO ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, ambapo michezo nane itapigwa.
Katika kundi E, Barcelona watakuwa kwenye Uwanja wa nyumbani Camp Nou na kuwakaribisha wapinzani wao, Bayern Leverkusen, kutoka nchini Ujerumani, mchezo ambao unaonekana kuwa na mvuto wa aina yake.
Katika mchezo wa kwanza wa michuano hii Barcelona ilikutana na AS Roma na matokeo yakawa 1-1, hata hivyo, katika mchezo wa leo Barcelona...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Michuano ya UEFA hapatoshi leo
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Uefa:ligi kuendelea leo
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Uefa:Klabu bingwa ulaya kuendelea leo
9 years ago
Bongo527 Nov
Matokea ya michuano ya UEFA Europa League
![article-3335573-2ED8322A00000578-942_964x386](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3335573-2ED8322A00000578-942_964x386-300x194.jpg)
Usiku wa November 26 ilipigwa michezo ya mechi za michuano ya UEFA Europa League, Katika viwanja mbali mbali na haya ndo matokea ya mechi hizo. klabu ya Liverpool ambayo inashiriki michuano hiyo ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Bordeaux katika dimba la Anfield.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
UEFA Champion Ligi kuendelea tena.
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Uefa 16 borakuendelea leo
MANCHESTER, ENGLAND
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo kwa baadhi ya michezo kwa kuzitafuta timu ambazo zitaingia hatua ya 16 bora.
Kuna klabu ambazo tayari zimetangulia katika hatua hiyo kama vile Real Madrid, Barcelona, PSG, Juventus, Man City, Bayern Munich na Zenit.
Kivumbi ni leo kwa Klabu ya Manchester United ambayo itashuka dimbani dhidi ya Wolfsburg katika kundi B, huku kila timu ikihitaji ushindi ili kujihakikishia inaingia 16 bora.
Wolfsburg...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6bpBhld6WW5qyvRzUf9tHtsed4ty9b7v64TKoaAqWoC5JWIhOgXLyMODt-ewgULODCHLF12UFPIYTny9BTvXAat/3ESTERBULAYA.jpg?width=650)
MICHUANO YA ESTHER CUP KUZINDULIWA LEO
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Chelsea Paris St Germany dimbani leo UEFA