Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UEFA Champion Ligi kuendelea tena.

Michuano ya UEFA Champion ligi inatarajia kuendelea tena kesho Jumanne kwa michezo kadhaa katika mechi za makundi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uefa:ligi kuendelea leo

Michezo ya pili ya michuano ya klabu bingwa itaendelea tena kushika kasi leo usiku kwa michezo nane kuchezwa

 

10 years ago

StarTV

Ligi ya Mabingwa Ulaya kuendelea tena leo.

Katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya leo kuna kivumbi kingine ambapo CSKA Moscow itakuwa na kibarua kigumu pale watakapowakaribisha Bayern Munich.

 
Wakati huo huo Man City waliopigwa bao moja na Bayern Munich watakutana na AC Roma iliyowapiga CSKA Moscow mabao matano katika mechi iliyopita.

 
Paris St G ya Ufaransa wao wanakutana uso kwa uso na Barcelona

 
Ukumbumbuke katika mechi ya wikendi iliyopita Paris St G walitoka sare na Ajax bao moja kwa moja.

 
Ajax inakutana leo na Apoel...

 

5 years ago

Michuzi

LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA TENA JUNI 17, MAN CITY VS ARSENAL

Baada ya Bundesliga kuanza kutimua vumbi, Pazia la ligi Kuu nchini Uingereza linatarajia kufunguliwa Juni 17 mwaka huu kwa mechi mbili kuchezwa.

Mechi hizo zikiwa ni viporo zitawakutanisha mabingwa watetezi Manchester City dhidi ya Arsenal na Aston Villa dhidi ya Sheffield United huku ratiba kamili ikianzia wikiendi ya Juni 19-21.

Bado kuna jumla ya mechi 92 ambazo zinahitaji kuchezwa na vilabu vyote 20 baada ya Ligi hiyo kusiimamishwa kwa muda usiojulikana Machi 13 kutokana na mlipuko wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal azungumzia nafasi ya Man United kushinda Uefa Champion League

louis-van-gaal-press-conference-1423235043

Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Baada ya kutoa sare na timu ya West Ham United, Kocha wa Manchester United, Mdachi Louis Van Gaal amezungumzia nafasi ya timu yake kama inauwezo wa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champion League).

Majibu ya kocha huyo yalitegemewa na watu wengi kutokana na mwenendo ulivyo kwa sasa kwa klabu hiyo kongwe ya nchini Wingereza ambayo imekuwa inapata matokeo ambayo hayawaridhishi mashabiki wa timu hiyo, Van Gaal amesema kikosi chake...

 

9 years ago

Mtanzania

Michuano ya Uefa kuendelea leo

Germany Soccer Champions League FinalLONDON, ENGLAND

MICHEZO ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, ambapo michezo nane itapigwa.

Katika kundi E, Barcelona watakuwa kwenye Uwanja wa nyumbani Camp Nou na kuwakaribisha wapinzani wao, Bayern Leverkusen, kutoka nchini Ujerumani, mchezo ambao unaonekana kuwa na mvuto wa aina yake.

Katika mchezo wa kwanza wa michuano hii Barcelona ilikutana na AS Roma na matokeo yakawa 1-1, hata hivyo, katika mchezo wa leo Barcelona...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uefa:Klabu bingwa ulaya kuendelea leo

Ligi ya mabingwa ulaya itaendelea kutimua vumbi leo kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja tofauti

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani