WASHINDI WA SHINDANO LA 'GENIUS-CUP' WAZAWADIWA

Mwanafunzi Fuad Thabit kutoka Feza Boys Secondary aliyeibuka mshindi wa kwanza shule za sekondari katika Shindano la Genius-Cup akipokea cheti na zawadi yake ya shilingi 300,000 toka kwa mgeni rasmi wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu wa Utafiti taasisi ya COSTECH, Athman Mgumia.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Washindi wa Shindano la 'Genius-Cup' Wazawadiwa

10 years ago
GPL
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
11 years ago
GPLREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati),akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano wa TV1, Mponjoli Katule.…
11 years ago
GPL
WASHINDI WA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA' WAKWEA PIPA KWENDA OLD TRAFFORD
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando akiwakabidhi tiketi za ndege baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel tayari kwa ajili ya safari yao ya kwenda kushuhudia mechi kati ya Manchester United na Cardiff City itakayochezwa kesho kwenye uwanja wa Old Trafford.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando akiwa pamoja na...
11 years ago
GPL
WASHIRIKI 20 WAFANYIWA MCHUJO SHINDANO LA 'KWETU HOUSE'
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pozi leo jioni.
Mmoja wa washiriki akirekodiwa na paparazi wetu, Richard Bukos.…
11 years ago
GPL
MPIGIE KURA MISS KIGAMBONI KWENYE SHINDANO LA 'NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014'
Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa  Afrika shindano hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014" litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa...
11 years ago
GPLERICK 'MSENGII' NATIANOTA NA HERIETH WAMEREMETA
Bwana Harusi Erick 'Msengii' Natianota akimlisha keki mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na ukapela hapo jana.
Mambo ya kwaito hayo…saaafi .
Wadogo zake…
11 years ago
GPL
TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...
10 years ago
GPLFILAMU YA 'MPANGO MBAYA' INA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group, Bw. Johnson Lukaza akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya iliyochezwa na washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) mwaka 2014, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa sinema wa century uliopo Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam. Filamu hii ni moja ya filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu huku wadau waliofanikiwa kuitazama filamu hiyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania