MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg?width=640)
Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.  Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania