SHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA
![](http://4.bp.blogspot.com/-X1g_HQs6Fg4/Vf6O4AuSV5I/AAAAAAAH6O0/RsIH21gJx2M/s72-c/Picha%2B4.jpg)
Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Tukio hilo lilifanyika leo katika viwanja vya shule ya mtemani mbele ya kamati ya shule hiyo ambapo muhisani na mdau wa maendeleo nchini ambaye pia ni mhadhiri kutoka chuo kikuu cha London, SOAS, Bwana Yussuf Shoka Hamad alikabidhi zawadi hizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba
Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]
The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Shule ya Viziwi Buguruni yapatiwa vifaa vya Tehama
WIZARA ya Sayansi na Teknolojia imeutaka uongozi wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni kuhakikisha vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walivyokabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi vinatumika kama vilivyokusudiwa....
10 years ago
Vijimambo14 Jan
FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KjWIsFpy_Vg/VDWLPnQwnCI/AAAAAAAGowU/jmp9KasqMtI/s72-c/SL.jpg)
MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA SHILINGI MILIONI 8 MJINI WETE PEMBA
Bw.Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu,...
11 years ago
MichuziAirtel yatoa vifaa vya ofisi ya walimu wa shule ya msingi Bayuni
kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetoa msaada wa seti ya meza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlifNCgBRz4BXk6rQYF9fEj-8xLEBs6q-1O1cNj0mbUDpiLfOy2AhL7l6nN*1y4pIVT2wBOq4fpbM-*Jz839PXo/Pic2.jpg.JPG?width=650)
AIRTEL YATOA VIFAA VYA OFISI YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI BAYUNI
11 years ago
MichuziAirtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi Chau Chalinze
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi ya walimu kwa shule ya msingi ya Chau iliyoko Chalinze mkoani Pwani.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani...
11 years ago
GPLAIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE
10 years ago
Habarileo04 Jul
Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi
SERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.