Airtel yatoa vifaa vya ofisi ya walimu wa shule ya msingi Bayuni
Meneja wa Huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi (Kulia) akikabithi msaada wa vifaa vya ofisi ya walimu kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Buyuni Bwana Amiri Mkojela wakati Airtel ilipotembealea shuleni hapo na kutoa viti na meza kwa ajili ya ofisi ya walimu , wakishuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Shule, Jamhur Masiku, na wanafuanzi wa shuleni hapo, hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki hii.
kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetoa msaada wa seti ya meza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIRTEL YATOA VIFAA VYA OFISI YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI BAYUNI
11 years ago
MichuziAirtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi Chau Chalinze
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi ya walimu kwa shule ya msingi ya Chau iliyoko Chalinze mkoani Pwani.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani...
11 years ago
GPLAIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE
10 years ago
Vijimambo14 Jan
FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE
5 years ago
MichuziAIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA CHOO SHULE YA KIGUZA MKURANGA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba
Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]
The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziSHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA
10 years ago
Michuzi24 Mar
10 years ago
Michuzi12 Apr