Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi Chau Chalinze
Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi ya walimu kwa shule ya msingi ya Chau iliyoko Chalinze mkoani Pwani.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE
11 years ago
MichuziAirtel yatoa vifaa vya ofisi ya walimu wa shule ya msingi Bayuni
kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetoa msaada wa seti ya meza...
11 years ago
GPL
AIRTEL YATOA VIFAA VYA OFISI YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI BAYUNI
11 years ago
GPLBANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI
5 years ago
Michuzi
AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA CHOO SHULE YA KIGUZA MKURANGA


11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Airtel yaboresha ofisi ya walimu Chau Chalinze
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetoa msaada wa viti na meza kwa ajili ya ofisi ya walimu kwa Shule ya Msingi Chau iliyoko Chalinze, Pwani. Akizungumza katika hafla...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE
10 years ago
Michuzi
DCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi
