Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba

Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]

The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA

Na: Moh’d Said  Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Tukio hilo lilifanyika leo katika viwanja vya shule ya mtemani mbele ya kamati ya shule hiyo ambapo muhisani na mdau wa maendeleo nchini ambaye pia ni mhadhiri kutoka chuo kikuu cha London, SOAS, Bwana Yussuf Shoka Hamad alikabidhi zawadi hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule ya Viziwi Buguruni yapatiwa vifaa vya Tehama

WIZARA ya Sayansi na Teknolojia imeutaka uongozi wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni kuhakikisha vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walivyokabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi vinatumika kama vilivyokusudiwa....

 

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vifaa vya ofisi ya walimu wa shule ya msingi Bayuni

Meneja wa Huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi (Kulia) akikabithi msaada wa vifaa vya ofisi ya walimu kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Buyuni Bwana Amiri Mkojela wakati Airtel ilipotembealea shuleni hapo na kutoa viti na meza kwa ajili ya ofisi ya walimu , wakishuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Shule, Jamhur Masiku, na wanafuanzi wa shuleni hapo, hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki hii.
kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetoa msaada wa seti ya meza...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA VIFAA VYA OFISI YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI BAYUNI‏

Meneja wa Huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi (Kulia) akikabithi msaada wa vifaa vya ofisi ya walimu kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Buyuni Bwana Amiri Mkojela wakati Airtel ilipotembealea shuleni hapo na kutoa viti na meza kwa ajili ya ofisi ya walimu , wakishuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Shule, Jamhur Masiku, na wanafuanzi wa shuleni hapo, hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki hii. Airtel...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi Chau Chalinze

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi ya  walimu kwa shule ya msingi ya Chau iliyoko Chalinze mkoani Pwani.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE‏

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani  William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani. Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi  Chau Chalinze
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.

 

9 years ago

Michuzi

Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepatiwa msaada wa vifaa kumi  vya tiba vya kuwahudumia watoto  mara wapougua na kufikishwa kwenye hospitali hiyo.
Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa  ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani