Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.

 

9 years ago

StarTV

Wakulima wa viazi Makota Iringa waomba msaada wa serikali

Wakulima wa viazi katika kijiji cha Makota wilayani Iringa waiomba Serikali kupitia wakala wa Vipimo kuingilia kati tatizo la ujazo wa Lumbesa ambao unadhoofisha sekta ya kilimo na kudumaza uchumi wa wakulima.

Wakulima hao wamesema licha ya kuelekeza nguvu zao katika sekta ya kilimo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi lakini kilimo kimekosa manufaa kwao kutokana na wachuuzi kutumia mbinu mbaya msimu wa uuzwaji wa zao hilo.

 Viazi ni miongoni mazao ya chakula na biashara, ambapo zao hili kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KARAFUU CHAFU YAKAMATWA PEMBA

Afisa mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi(kuli), akiwa na mkulima wa zao la karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae anadaiwa kuchanganya karafuu na makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC Finya wilaya ya Micheweni.MPIMAJI karafuu wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba Kitwana Salim Kitwana, akipima karafuu hizo, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu kituoni hapo.WANANCHI waliokodi shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni...

 

11 years ago

Michuzi

WIZI WA KARAFUU MASHAMBANI PEMBA

Wakati msimu wa uchumaji karafuu ukiendelea nao wizi wa zao hilo mashambani umeshamiri, Mkulima wa zao hilo Kombo Khamis Othman wa kijiji cha Ranguni Wete Pemba akionyesha matawi yaliyokatwa na wezi katika shamba lake.

 

9 years ago

Mwananchi

Shehena ya karafuu yakamatwa Pemba

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), kimekamata shehena ya makonyo na karafuu kavu iliyodaiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo katika Bandari ya Milango Mikavu kisiwani hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Shein: Karafuu itamaliza umasikini Pemba

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kama atachaguliwa kuwa rais atahakikisha anapambana na umasikini kwa kuboresha kilimo cha karafuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marashi ya Karafuu, je bado yapo Pemba?

Wakulima wa Karafuu Pemba wanasema wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

10 years ago

Michuzi

msako wa KARAFUU CHAFU kisiwani PEMBA wapamba moto

 Afisa mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi (kulia), akiwa na mkulima wa zao la karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae anadaiwa kuchanganya karafuu na makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC wa Finya, wilaya ya Micheweni  Mpimaji wa karafuu wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba,  Kitwana Salim Kitwana, akipima karafuu hizo kituoni hapo.  Wananchi waliokodi shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni Pemba, ambao kwa sasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima uzeni karafuu ZSTC

ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani