Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima uzeni karafuu ZSTC

ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

 

11 years ago

Michuzi

ZSTC yastawisha upya zao la karafuu, Zanzibar.


 Zanzibar ni visiwa vinavyosifika kwa uzalishaji wa karafuu bora duniani. Katika miaka 30 ya nyuma pia ilisifika kwa uzalishaji karafuu nyingi, wastani wa tani 8,605 zilikuwa zikizalishwa kwa mwaka.
Jamii ya wakati huo walikuwa wakizijali, wakizithamini na wakizipenda sana karafuu ukilinganisha na kizazi cha sasa. Walihakikisha karafuu zao wakiuza vituoni tena zinakuwa safi, zimekauka vizuri na zinapata daraja la kwanza.
Katika miaka hiyo zao la karafuu lilikuwa ndiyo tegemeo kubwa la pato...

 

10 years ago

Michuzi

ZSTC LAENDELEZA MIKUTANO YAKE KWA WAKULIMA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar Wakulima wa zao la Karafuu wametakiwa kuacha tabia ya kuchukua Miche mingi ya Zao hilo ambayo wanashindwa kuishughulikia ipasavyo, kwani kwa kufanya hivyo ni kurudisha Juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuliimarisha zao hilo kwani Miche hiyo inagharimu kiasi kikubwa cha Pesa za kuitunza.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Mwanahija Almas alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Karafuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.

 

9 years ago

Vijimambo

Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba

MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MWENYEKITI wa Bodi ya ZSTC, Zanzibar Kassim Maalimu Suleiman akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Karafuu ya magendo yakamatwa

 Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM)Kisiwani Pemba kimefanikiwa kukamata magunia 34 ya karafuu kavu yaliyokuwa katika harakati ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KARAFUU ZA MAGENDO ZAKAMATWA MTAMBWE

Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba Bw Abdulla Ali Ussi akitoa maelezo baada Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani