Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima uzeni karafuu ZSTC

ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...

 

11 years ago

Michuzi

ZSTC yastawisha upya zao la karafuu, Zanzibar.


 Zanzibar ni visiwa vinavyosifika kwa uzalishaji wa karafuu bora duniani. Katika miaka 30 ya nyuma pia ilisifika kwa uzalishaji karafuu nyingi, wastani wa tani 8,605 zilikuwa zikizalishwa kwa mwaka.
Jamii ya wakati huo walikuwa wakizijali, wakizithamini na wakizipenda sana karafuu ukilinganisha na kizazi cha sasa. Walihakikisha karafuu zao wakiuza vituoni tena zinakuwa safi, zimekauka vizuri na zinapata daraja la kwanza.
Katika miaka hiyo zao la karafuu lilikuwa ndiyo tegemeo kubwa la pato...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake

Kongamano la AU la kuboresha maslahi ya wanawake barani Afrika. Je kuna kitu cha kujivunia?

 

10 years ago

Michuzi

ZSTC LAENDELEZA MIKUTANO YAKE KWA WAKULIMA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar Wakulima wa zao la Karafuu wametakiwa kuacha tabia ya kuchukua Miche mingi ya Zao hilo ambayo wanashindwa kuishughulikia ipasavyo, kwani kwa kufanya hivyo ni kurudisha Juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuliimarisha zao hilo kwani Miche hiyo inagharimu kiasi kikubwa cha Pesa za kuitunza.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Mwanahija Almas alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Karafuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizundua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar kwa kukata utepe kuashiria kuzindua Mfuko huo na kukabidhi Shirika la Bima Zanzibar Cheki ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya mfuko huo kulipa Bima kwa Wakulima watakaoanguka katika mikarafuu wakati wa uchumaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni 60 Mkurugenzi Mtendaji wa SAhirika la...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

SBL yapania kuinua wakulima nchini

Kampuni ya Bia ya Serengenti, inatarajia kuingia makubaliano na Wizara ya Kilimo na Chakula, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa shairi na mtama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani