Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SBL yapania kuinua wakulima nchini

Kampuni ya Bia ya Serengenti, inatarajia kuingia makubaliano na Wizara ya Kilimo na Chakula, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa shairi na mtama.

 

10 years ago

Michuzi

ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake

Kongamano la AU la kuboresha maslahi ya wanawake barani Afrika. Je kuna kitu cha kujivunia?

 

10 years ago

Habarileo

Australia kuinua wanawake mikoa 10

SERIKALI ya Australia inafadhili mradi unaolenga kuboresha maisha ya wanawake na watoto zaidi ya 33,000 katika mikoa kumi nchini.

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

9 years ago

Michuzi

NMB YADHAMIRIA KUINUA WANAWAKE KUPITIA MICHEZO

  Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB – Waziri Barnabas (wapili kulia) akimkabidhi jezi Kapteni wa Timu ya Taifa ya Hockey-Wanawake – Kidawa Abdallah (watatu kushoto) leo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo NMB ilitangaza udhamini wake kwa Timu ya Taifa ya Hockey inayotarajiwa kushiriki mashindano ya Afrika kuwania kufuzu mashindano ya Olimpiki (Olympic Qualifier) mashindano yatakayoanza Oktoba 23 mwaka huu. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo –...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania


Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni kutokana na nguvu za serikali, taasisi na watu binafsi kuweka mazingira ya upatikanaji wa elimu kwa mtoto wa kike na haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi.Licha ya maendeleo hayo, yapo mengi ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

BANG YAADHIMISHA MIAKA 11 KATIKA KUINUA VIPAJI VYA WANAWAKE,VIJANA

 Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd,Emelda Mwamanga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya jarida la Bang! katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi wa Ubunifu na Masoko wa Relim Entertainment Ltd ,Mpegwa Mwarang’ata na Ofisa Masoko Relim Entertainment Ltd Darliana Mbedule. Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga wakionyesha waandishi wa habari baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani