Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YADHAMIRIA KUINUA WANAWAKE KUPITIA MICHEZO

  Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB – Waziri Barnabas (wapili kulia) akimkabidhi jezi Kapteni wa Timu ya Taifa ya Hockey-Wanawake – Kidawa Abdallah (watatu kushoto) leo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo NMB ilitangaza udhamini wake kwa Timu ya Taifa ya Hockey inayotarajiwa kushiriki mashindano ya Afrika kuwania kufuzu mashindano ya Olimpiki (Olympic Qualifier) mashindano yatakayoanza Oktoba 23 mwaka huu. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo –...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

INDIA YADHAMIRIA KUKABILIANA NA WIZI KUPITIA MASHINE ZA ATM

Katika Mkutano uliofanyika Nchini India, Mbali na maelezo ya jitihada na dhamira kubwa katika kuwekeza katika maswala ya teknolojia kupitia kampeni yao ya DIGITAL INDIA, Pia nchi imepata kuelezea dhamira yao ya kuwekeza zaidi kwa kutoa misaada ya kimasomo ( Scholarships ) kwa wale watakao kuwa wakisomea masomo yatakayo wezesha kukuza na kufanikisha jitihada zao za Digital India.


Aidha, Kwa Upande mwingine – Wameweza kukubali tatizo linalo ambatana na ukuaji wa technolojia ni uhalifu mtandao...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

CRDB YADHAMIRIA KUINUA HALI ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI WA MIJINI NA VIJIJINI KWA KUIBUA MIRADI MBALI MBALI

Uongozi wa Benki ya CRDB Nchini umeazimia kuunga mkono Utekelezaji wa miradi mbali mbali ya Maendeleo inayowagusa moja kwa Moja Wananchi kwa kushirikiana na Serikali katika kuona ustawi wa Jamii Mjini na Vijijini unaimarika kila siku.

Akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Vuga Mjini Zanzibar Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo ya CRDB Bwana Abdulmajid Mussa Nsekela  amesema Benki hiyo iliyopata Tuzo ya Mfuko wa Kimataifa wa Mazingira itadhihirisha Utekelezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ifanya mambo manne, kuinua michezo

Kwa takribani siku 28 nilikuwa miongoni mwa watu waliopata bahati yakushuhudia vijana wadogo wa Kitanzania wakionyesha vipaji walivyojaliwa na Mwenyezi Mungu katika mashindano ya shule ya Umisseta na Umitashuta.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake

Kongamano la AU la kuboresha maslahi ya wanawake barani Afrika. Je kuna kitu cha kujivunia?

 

10 years ago

Habarileo

Australia kuinua wanawake mikoa 10

SERIKALI ya Australia inafadhili mradi unaolenga kuboresha maisha ya wanawake na watoto zaidi ya 33,000 katika mikoa kumi nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania


Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni kutokana na nguvu za serikali, taasisi na watu binafsi kuweka mazingira ya upatikanaji wa elimu kwa mtoto wa kike na haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi.Licha ya maendeleo hayo, yapo mengi ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

BANG YAADHIMISHA MIAKA 11 KATIKA KUINUA VIPAJI VYA WANAWAKE,VIJANA

 Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd,Emelda Mwamanga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya jarida la Bang! katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi wa Ubunifu na Masoko wa Relim Entertainment Ltd ,Mpegwa Mwarang’ata na Ofisa Masoko Relim Entertainment Ltd Darliana Mbedule. Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga wakionyesha waandishi wa habari baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani