Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania


Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni kutokana na nguvu za serikali, taasisi na watu binafsi kuweka mazingira ya upatikanaji wa elimu kwa mtoto wa kike na haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi.Licha ya maendeleo hayo, yapo mengi ambayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

11 years ago

Dewji Blog

Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple

SONY DSC

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya


Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial Intelligence (AI)na ugunduzi wa chanzo na athari za magonjwa kidijitali (digital pathology). Uwekezaji wa namna hii unasaidia kuhakikisha kwamba hospitali nchini Tanzania zinaendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE(UCSAF)

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Chunya, Sosthenes Mayoka akikata utepe kuashiria ufunguzi wa sherehe za kuzindua mnara wa simu ya kampauni ya TTCL katika kijiji cha Shoga wilayani Chunya.
Mkurugenzi wa Kanda ya TTCL akiungana na kikundi cha sanaa kucheza ngoma ya asili ya wakazi wa kijiji cha Shoga katika sherehe za uzinduzi wa mnara wa mawasiliano.Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Chunya(DAS),...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kampuni za simu nchini zinawaibia wateja wao’

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amekiri kwamba kuna tatizo katika kampuni za simu nchini la kuwaibia wateja wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani