Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SBL yapania kuinua wakulima nchini

Kampuni ya Bia ya Serengenti, inatarajia kuingia makubaliano na Wizara ya Kilimo na Chakula, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa shairi na mtama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

 

10 years ago

Michuzi

ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

10 years ago

GPL

E-FM YAPANIA KUKUZA MCHEZO WA NDONDI NCHINI

Dennis Ssebo akipanga mikakati kati ya EFM Redio na Raisi wa WBF Bwana Howard Goldberg pamoja na Francios Botha.
Bondia Wang Xian Hua akiwa na mkalimani wake ndani ya studio za EFMN redio.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mitaji iboreshwe kuinua kilimo nchini

Kilimo kinatajwa kuwa moja ya sekta muhimu nchini ambayo inategemewa kuleta mapinduzi ya kiuchumi kama sera ya Taifa ya kilimo itawashirikisha wadau wote wa sekta hiyo kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chuo India chadhamiria kuinua elimu nchini

MKURUGENZI wa Chuo Kikuu cha Rajendra Singh cha nchini India, Dk. Sarit Kumar, amesema chuo chake kipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuinua sekta ya elimu nchini. Amesema chuo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELA KUINUA VIJANA HAPA NCHINI

 Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia),akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine yakubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya,kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika haflailiyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtelkatika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto), Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Happy John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani