Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitaji iboreshwe kuinua kilimo nchini

Kilimo kinatajwa kuwa moja ya sekta muhimu nchini ambayo inategemewa kuleta mapinduzi ya kiuchumi kama sera ya Taifa ya kilimo itawashirikisha wadau wote wa sekta hiyo kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MATUMIZI SAHIHI YA PEMBEJEO KUINUA SEKTA YA KILIMO NCHINI

Na Jovina Bujulu- MAELEZO                                  Wakulima wametakiwa kutumia vizuri dhamana waliyopewa ya ya mfumo wa vocha ili kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla.
Wito huo umetolewa jijini Dar-Es-Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Kilimo, Chakula na Viwanda Richard Kasuga alipokuwa akitoa taarifa ya ruzuku ya pembejeo  za kilimo kwa njia ya vocha nchini.
Kasuga aliendelea kusema kuwa matumizi sahihi ya mbegu bora...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na watafiti kutoka taasisi ya Utafiti wa Kilimo Uyole iliyopo Mkoani Mbeya walipomtembelea ofisini kwake leo kutambulisha mpango wa SARD (Strategic Agriculture Reseach Development) unaodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB (Africa Development Bank). Mpango huo una lengo la kupunguza utegemezi wa chakula nchini kwa kuongeza uzalishaji wa vyakula mbalimbali ikiwemo zao la ngano ambalo ni sehemu ya mradi huo Mkoani Rukwa.

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

11 years ago

Mwananchi

SBL yapania kuinua wakulima nchini

Kampuni ya Bia ya Serengenti, inatarajia kuingia makubaliano na Wizara ya Kilimo na Chakula, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa shairi na mtama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chuo India chadhamiria kuinua elimu nchini

MKURUGENZI wa Chuo Kikuu cha Rajendra Singh cha nchini India, Dk. Sarit Kumar, amesema chuo chake kipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuinua sekta ya elimu nchini. Amesema chuo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani