Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Insignia (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania

G series

Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza mazingira. Hewa safi na nzuri ni jambo la kwanza kwa nyumba inayozingatia mazingira. Kwa Bahati mbaya, kuna matatizo makubwa sana ya kiafya yanayoletwa na sumu zinazowekwa katika rangi kwa lengo la kuongeza ubora wa rangi hizo. Sumu hizi ni pamoja na risasi, zebaki, aseniki na Kromiam.

Utafiti wa mwaka 2002 uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Marekani ulibaini kuwa wanawake na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WMA na mkakati wa kuinua sekta ya gesi

MIONGONI mwa majukumu ya Wakala wa Vipimo (WMA)ni kuhakikisha kuwa vipimo vyote vinavyotumika katika sekta za biashara, afya, usalama na mazingira vinakuwa sahihi. Baada ya serikali kufanya mabadiliko ya sera...

 

11 years ago

Mwananchi

SBL yapania kuinua wakulima nchini

Kampuni ya Bia ya Serengenti, inatarajia kuingia makubaliano na Wizara ya Kilimo na Chakula, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa shairi na mtama.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitaji iboreshwe kuinua kilimo nchini

Kilimo kinatajwa kuwa moja ya sekta muhimu nchini ambayo inategemewa kuleta mapinduzi ya kiuchumi kama sera ya Taifa ya kilimo itawashirikisha wadau wote wa sekta hiyo kuanzia ngazi ya chini mpaka taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chuo India chadhamiria kuinua elimu nchini

MKURUGENZI wa Chuo Kikuu cha Rajendra Singh cha nchini India, Dk. Sarit Kumar, amesema chuo chake kipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuinua sekta ya elimu nchini. Amesema chuo...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELA KUINUA VIJANA HAPA NCHINI

 Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia),akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine yakubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya,kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika haflailiyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtelkatika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto), Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Happy John...

 

9 years ago

Michuzi

MATUMIZI SAHIHI YA PEMBEJEO KUINUA SEKTA YA KILIMO NCHINI

Na Jovina Bujulu- MAELEZO                                  Wakulima wametakiwa kutumia vizuri dhamana waliyopewa ya ya mfumo wa vocha ili kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla.
Wito huo umetolewa jijini Dar-Es-Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Kilimo, Chakula na Viwanda Richard Kasuga alipokuwa akitoa taarifa ya ruzuku ya pembejeo  za kilimo kwa njia ya vocha nchini.
Kasuga aliendelea kusema kuwa matumizi sahihi ya mbegu bora...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania


Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni kutokana na nguvu za serikali, taasisi na watu binafsi kuweka mazingira ya upatikanaji wa elimu kwa mtoto wa kike na haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi.Licha ya maendeleo hayo, yapo mengi ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani