Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Insignia (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania

G series

Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza mazingira. Hewa safi na nzuri ni jambo la kwanza kwa nyumba inayozingatia mazingira. Kwa Bahati mbaya, kuna matatizo makubwa sana ya kiafya yanayoletwa na sumu zinazowekwa katika rangi kwa lengo la kuongeza ubora wa rangi hizo. Sumu hizi ni pamoja na risasi, zebaki, aseniki na Kromiam.

Utafiti wa mwaka 2002 uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Marekani ulibaini kuwa wanawake na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Coral Paints katika jitihada za kuongeza ujuzi kwa wapiga rangi nchini Tanzania

IMG-20150325-WA0072-0-04

Ili kuwa mpiga rangi mzuri na mpambaji , lazima mtu awe mbunifu na mwenye ujuzi unaostahili vilevile awe na uwezo wa kuelewa  na  kufuzu ujuzi  wote unaohitajika katika kudumisha kiwango cha hali ya juu katika sekta ya upakaji rangi na mapambo . Kwa kiwango cha kitaifa sekta ya upakaji rangi imepata kuungwa mkono ili kuongeza ujuzi kwa maelfu ya wafanyabiashara nchini. Ukosefu wa maarifa na ujuzi muhimu kwa watu wanaopaka rangi umekuwa ukisababisha msuguano kati ya wamiliki wa nyumba ,...

 

5 years ago

Michuzi

Coral Paints yatangaza mafanikio ikitimizamiaka 30. Yamtangaza Diamond Balozi mpya wa chapa ya Coral

KAMPUNI ya rangi ya Coral Paints imeadhimisha miaka 30 tangu ilipoasisiwa huku ikijivunia ushirika wake katika kukuza uchumi wa wananchi na taifa zima kwa kuwainua mamia ya wajasiliamali nchini.Akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Kishan Dhebar, alisema wengi miongoni mwa wajasirimali hao kwa sasa ni mawakala wakubwa wa Coral Paints ndani na nje ya nchi.“Wapo ambao tulianza nao miaka 30 iliyopita na tumekuwa tukitumia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000

SAM_1736

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira

Mwaka 1996, Serikali ya Tanzania ilizindua sera endelevu ya maendeleo ya...

 

9 years ago

GPL

FAHAMU MAZINGIRA RAFIKI YA KUJISOMEA

Kila kitu kina mazingira yake ya kuweza kukifanya kwa ufanisi ili kutoa matokeo yaliyokusudiwa kwa asilimia kubwa; vivyo hivyo zoezi la kujisomea kwa wanafunzi pia hupaswa kuandaliwa mazingira rafiki ili kufanya ubongo upokee mambo mengi kwa wakati mmoja na hatimaye kuweza kufaulu vizuri katika masomo yao. Wanafunzi wengi hujisomea bila kujali mazingira ya kufanya hivyo jambo ambalo huwafanya washindwe kufaulu mitihani yao vizuri...

 

9 years ago

Habarileo

Wahimiza mazingira rafiki uchaguzi mkuu

CHAMA cha Walemavu Mkoa wa Mwanza (CHAWATA) kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuweka mazingira rafiki kwa watu wote wenye ulemavu katika vituo vya kupigia kura, ili wapate haki yao ya kupiga kura.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunifu wakumbushwa majengo rafiki wa mazingira

SERIKALI imetoa wito kwa wataalamu wa majengo na wabunifu wa majenzi kuwa wabunifu zaidi kwa kuzingatia matumizi ya vifaa ambavyo vitakuwa rafiki kwa mazingira na matumizi sahihi ya nishati katika majengo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Rwanda yazindua magari rafiki kwa mazingira

Rwanda yazindua magari yanayotumia umeme ambayo ni rafiki kwa mazingira ya nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msigara: Nitaunga mkono serikali yenye mazingira rafiki

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Frederick Msigara, amesema hana uhakika kama muundo wa serikali tatu unaweza kuwa njia pekee ya ufumbuzi wa kero walizonazo wananchi. Msigara alitoa kauli hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani