Coral Paints yatangaza mafanikio ikitimizamiaka 30. Yamtangaza Diamond Balozi mpya wa chapa ya Coral
![](https://1.bp.blogspot.com/-3XcWD8Y5SJs/Xl_mJ2OsaQI/AAAAAAAEGAc/3IwdC9lIGZEeqyfMeHvgRsc-xTun4DKlwCLcBGAsYHQ/s72-c/02.jpg)
KAMPUNI ya rangi ya Coral Paints imeadhimisha miaka 30 tangu ilipoasisiwa huku ikijivunia ushirika wake katika kukuza uchumi wa wananchi na taifa zima kwa kuwainua mamia ya wajasiliamali nchini.Akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Kishan Dhebar, alisema wengi miongoni mwa wajasirimali hao kwa sasa ni mawakala wakubwa wa Coral Paints ndani na nje ya nchi.“Wapo ambao tulianza nao miaka 30 iliyopita na tumekuwa tukitumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Insignia (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania
Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza mazingira. Hewa safi na nzuri ni jambo la kwanza kwa nyumba inayozingatia mazingira. Kwa Bahati mbaya, kuna matatizo makubwa sana ya kiafya yanayoletwa na sumu zinazowekwa katika rangi kwa lengo la kuongeza ubora wa rangi hizo. Sumu hizi ni pamoja na risasi, zebaki, aseniki na Kromiam.
Utafiti wa mwaka 2002 uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Marekani ulibaini kuwa wanawake na...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
Kampuni ya Coral Paints katika jitihada za kuongeza ujuzi kwa wapiga rangi nchini Tanzania
Ili kuwa mpiga rangi mzuri na mpambaji , lazima mtu awe mbunifu na mwenye ujuzi unaostahili vilevile awe na uwezo wa kuelewa na kufuzu ujuzi wote unaohitajika katika kudumisha kiwango cha hali ya juu katika sekta ya upakaji rangi na mapambo . Kwa kiwango cha kitaifa sekta ya upakaji rangi imepata kuungwa mkono ili kuongeza ujuzi kwa maelfu ya wafanyabiashara nchini. Ukosefu wa maarifa na ujuzi muhimu kwa watu wanaopaka rangi umekuwa ukisababisha msuguano kati ya wamiliki wa nyumba ,...
5 years ago
Interesting Engineering20 Feb
Coral Reef Habitats May Be Nearly Extinct by 2100
5 years ago
Tech Explorist22 Mar
New tools to determine climate-adaptive coral reefs
10 years ago
East African Business Week27 Apr
Zanzibar's Chumbe Coral Park wins prize
East African Business Week
It was awarded the gold winner for 'its careful review of progress to 2006 and the development of the new management plan 2006-2016, which the judges saw as an example of good practice and one which others should emulate'. The 'Best Destination for ...
5 years ago
News Landed21 Feb
The coral reefs of planet Earth could be extinct by the end of this century
5 years ago
SciTechDaily10 Apr
Bionic 3D-Printed Corals Could Optimize Bioenergy and Help Coral Reefs
5 years ago
NDTV News07 Apr
Great Barrier Reef Suffers Worst-Ever Coral Bleaching: Scientists
5 years ago
Livescience.Com03 Mar
'Gardens and graveyards' of coral discovered in hidden canyons off Australia's coast