Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000

SAM_1736

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira

Mwaka 1996, Serikali ya Tanzania ilizindua sera endelevu ya maendeleo ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA yapata cheti cha kimataifa

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kuboresha sekta hiyo, baada ya kukabidhiwa cheti cha kiwango cha kimataifa na Shirika la Viwango Duniani. Cheti hicho kilikabidhiwa jijini Dar...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Precision Air yapata cheti cha usalama

SHIRIKA la Precision Air Services, limefanikiwa kupata upya cheti cha Usalama (IOSA), kitolewacho na shirikisho la kibiashara la mashirika ya ndege duniani (IATA). Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kituo cha Exim Academy chatunukiwa cheti cha ubora

KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim ya Tanzania, ‘Exim Academy’ kimetunukiwa Cheti cha Kimataifa cha Ubora wa Viwango (ISO 9001:2008) kutokana na mafunzo bora wanayoyatoa. Kituo hicho kilizinduliwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

ATUPWA JELA KWA KUTOSAINI CHETI CHA NDOA CHA JINSIA MOJA

Image copyrightGettyImage captionKim Davies aliyekataa kusaini cheti cha ndoa Kentucky
Jaji mmoja nchini Marekani, ameagiza afisa mmoja wa serikali katika jimbo la Kentucky, kufungwa jela, baada ya kukataa kutekeleza agizo la mahakama la kutoa cheti rasmi cha ndoa, kwa wapenzi wawili wa jinsia moja.

Kim Davies amesema imani yake kama Mkristo, haimruhusu kusaini cheti kama hicho. Ndoa ya jinsia moja ilihalalishwa nchini Marekani Juni mwaka huu.

Umauzi huo wa Davis, wa kutosaini cheti hicho...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua kiwanda cha Nondo cha Kamal Steel Limited

PG4A1979

Waziri Mkuu,  Mizengo Pinda  akikata utepe kuzindua  upanzi wa  kiwanda cha Kamal Steel LTD  kilichopo Chng’ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni  Mwenyekiti wa kamal Steel  Limited, Gagan  Kamal . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1982

PG4A1995

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo  kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda  cha nondo cha  Kamal Steel  Limited cha Chang’ombe jijini Dar es salaam,  Bwana Jijo  kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda...

 

9 years ago

Michuzi

KIYABO ATUNUKIWA CHA CHETI CHA ELIMU YA JUU KATIKA MASUALA YA BENKI JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Gavana wa Benki Kuu Nchini (BOT), Natu Mwamba akizungumza katika mahafali ya 17 ya Tanzania Institute of Bankers yalifanyika jana katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mhitimu wa Cheti ya Cha Juu katika Masuala ya Benki,Yahya Kiyabo akitunukiwa cheti na   Naibu Gavana wa Benki Kuu Nchini (BOT), Natu Mwamba  wakati mahafali ya 17 ya Tanzania Institute of Bankers yalifanyika jana katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Naibu Gavana wa Benki Kuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani