Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha Exim Academy chatunukiwa cheti cha ubora

KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim ya Tanzania, ‘Exim Academy’ kimetunukiwa Cheti cha Kimataifa cha Ubora wa Viwango (ISO 9001:2008) kutokana na mafunzo bora wanayoyatoa. Kituo hicho kilizinduliwa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Benki ya Exim yatunukiwa cheti cha ubora wa mafunzo

KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim nchini, kimetunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango (ISO) kuashiria ubora wa mafunzo yatolewayo. Kilizinduliwa na benki hiyo mwaka jana kwa lengo la kuongeza ufanisi na uwezo kwa wafanyakazi na tayari kinatoa programu muhimu za kibenki kwa wafanyakazi wa benki hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kituo chatunukiwa cheti

Kituo cha Mafunzo cha Benki ya Exim Tanzania maarufu Exim Academy, kimetunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango (ISO 9001:2008) ikiashiria ubora wa mafunzo yatolewayo na kituo hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

VitaFoam wapata cheti cha ubora

KAMPUNI ya VitaFoam inayotengeneza magodoro, imepokea cheti cha ubora na uthibitisho wa viwango vya kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Kimataifa (ISO) 9001:2008 kinachotambulika kimataifa baada ya kutimiza viwango vya...

 

10 years ago

Michuzi

AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia).  Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakarabati kituo cha watoto wenye ulemavu Morogoro

Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Morogoro, Bi Anna Wesiwasi (wapili kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Kituo cha Amani cha watoto wenye ulemavu, Padri Beatus Sewando (watatu kulia) mara tu baada ya kuzindua jengo la kituo hicho kilichokarabatiwa na benki hiyo jana mkoani Morogoro. Akishuhudia ni Afisa Mauzo wa Benki hiyo Vick Haji (Kulia).
Na Mwandishi wetu, Morogoro
BENKI ya Exim Tanzania imefanya ukarabati wa majengo ya kituo cha watoto wenye ulemavu cha Amani kilichopo eneo la...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kituo chake cha huduma kwa wateja

 Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Selemani Ponda, (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana  na  uzinduzi wa kituo kipya cha  huduma  kwa wateja wa benki hiyo kwa njia ya mawasiliano ya simu ikiwa ni sehemu ya mkakati wa benki hiyo kuboresha huduma zake kupitia teknolojia ya mawasiliano. Pembeni yake ni Mkuu wa Hazina wa Benki hiyo, Bw George Shumbusho (wa pili kushoto), Afisa masoko wa benki hiyo, Bw Abdulrahman Nkondo (kushoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani