VitaFoam wapata cheti cha ubora
KAMPUNI ya VitaFoam inayotengeneza magodoro, imepokea cheti cha ubora na uthibitisho wa viwango vya kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Kimataifa (ISO) 9001:2008 kinachotambulika kimataifa baada ya kutimiza viwango vya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Kituo cha Exim Academy chatunukiwa cheti cha ubora
KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim ya Tanzania, ‘Exim Academy’ kimetunukiwa Cheti cha Kimataifa cha Ubora wa Viwango (ISO 9001:2008) kutokana na mafunzo bora wanayoyatoa. Kituo hicho kilizinduliwa na...
11 years ago
Habarileo21 Jan
Benki ya Exim yatunukiwa cheti cha ubora wa mafunzo
KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim nchini, kimetunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango (ISO) kuashiria ubora wa mafunzo yatolewayo. Kilizinduliwa na benki hiyo mwaka jana kwa lengo la kuongeza ufanisi na uwezo kwa wafanyakazi na tayari kinatoa programu muhimu za kibenki kwa wafanyakazi wa benki hiyo.
10 years ago
VijimamboPPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Triple ‘s’ wapata leseni ya ubora
KAMPUNI ya Triple ‘s’ Investment imepewa leseni ya utengenezaji bora wa pombe aina ya Signal True Vodka baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuridhika na ubora wa bidhaa hiyo....
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000
Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira
Mwaka 1996, Serikali ya Tanzania ilizindua sera endelevu ya maendeleo ya...
10 years ago
Vijimambo04 Sep
ATUPWA JELA KWA KUTOSAINI CHETI CHA NDOA CHA JINSIA MOJA

Jaji mmoja nchini Marekani, ameagiza afisa mmoja wa serikali katika jimbo la Kentucky, kufungwa jela, baada ya kukataa kutekeleza agizo la mahakama la kutoa cheti rasmi cha ndoa, kwa wapenzi wawili wa jinsia moja.
Kim Davies amesema imani yake kama Mkristo, haimruhusu kusaini cheti kama hicho. Ndoa ya jinsia moja ilihalalishwa nchini Marekani Juni mwaka huu.
Umauzi huo wa Davis, wa kutosaini cheti hicho...
10 years ago
MichuziKIYABO ATUNUKIWA CHA CHETI CHA ELIMU YA JUU KATIKA MASUALA YA BENKI JIJINI DAR ES SALAAM