PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.
Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_w9x55gDGrc/VWiR43w1wKI/AAAAAAAAUQM/fiPQZmem3i0/s72-c/E1B.jpg)
PPF YANYAKUA TUZO YA UBORA WA HUDUMA YA ISO KIMATAIFA
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio alitoa taarifa hiyo leo Ijumaa na kusema kuwa walipewa tangu Machi 28, mwaka huu.
Alisema wamepewa cheti chenye namba 9001:2008 na kuanzia mwezi Mei, mwaka huu huduma za PPF zinaza kutambulika kimataifa.
“ISO walikuja nchini wakatukagua wakalidhika na viwango vya huduma zetu tunazotoa na wakatupatia cheti cha ubora,” alisema...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000
Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira
Mwaka 1996, Serikali ya Tanzania ilizindua sera endelevu ya maendeleo ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
TCRA yapata cheti cha kimataifa
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kuboresha sekta hiyo, baada ya kukabidhiwa cheti cha kiwango cha kimataifa na Shirika la Viwango Duniani. Cheti hicho kilikabidhiwa jijini Dar...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
TCRA yapata ubora wa kimataifa
NA RACHEL KYALA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepata cheti cha kiwango cha ubora kutoka Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), kutokana na kukidhi vigezo vya utoaji huduma kwa jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa cheti hicho, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma, alisema mamlaka hiyo imepata cheti hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kudhibiti sekta ya mawasiliano ikiwemo kujulikana kimataifa.
“Tulikwenda shule chini ya Shirika la Viwango Nchini (TBS),...
10 years ago
Habarileo10 Dec
Maabara Muhimbili yapata ubora wa kimataifa
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia kitengo cha maabara imepokea cheti cha kimataifa cha ithibati kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Viwango (ISO) baada ya kuonekana kutoa huduma bora za kitabibu.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Kituo cha Exim Academy chatunukiwa cheti cha ubora
KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim ya Tanzania, ‘Exim Academy’ kimetunukiwa Cheti cha Kimataifa cha Ubora wa Viwango (ISO 9001:2008) kutokana na mafunzo bora wanayoyatoa. Kituo hicho kilizinduliwa na...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
VitaFoam wapata cheti cha ubora
KAMPUNI ya VitaFoam inayotengeneza magodoro, imepokea cheti cha ubora na uthibitisho wa viwango vya kimataifa kutoka Shirika la Viwango vya Kimataifa (ISO) 9001:2008 kinachotambulika kimataifa baada ya kutimiza viwango vya...
11 years ago
Habarileo21 Jan
Benki ya Exim yatunukiwa cheti cha ubora wa mafunzo
KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim nchini, kimetunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango (ISO) kuashiria ubora wa mafunzo yatolewayo. Kilizinduliwa na benki hiyo mwaka jana kwa lengo la kuongeza ufanisi na uwezo kwa wafanyakazi na tayari kinatoa programu muhimu za kibenki kwa wafanyakazi wa benki hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Precision Air yapata cheti cha usalama
SHIRIKA la Precision Air Services, limefanikiwa kupata upya cheti cha Usalama (IOSA), kitolewacho na shirikisho la kibiashara la mashirika ya ndege duniani (IATA). Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini...