Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maabara Muhimbili yapata ubora wa kimataifa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia kitengo cha maabara imepokea cheti cha kimataifa cha ithibati kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Viwango (ISO) baada ya kuonekana kutoa huduma bora za kitabibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

TCRA yapata ubora wa kimataifa


NA RACHEL KYALA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepata cheti cha kiwango cha ubora kutoka Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), kutokana na  kukidhi vigezo vya utoaji huduma kwa jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa cheti hicho, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma, alisema mamlaka hiyo imepata cheti hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kudhibiti sekta ya mawasiliano ikiwemo kujulikana kimataifa.
“Tulikwenda shule chini ya Shirika la Viwango Nchini (TBS),...

 

10 years ago

Vijimambo

PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...

 

11 years ago

Habarileo

TIRDO wamiliki maabara ya kupima ubora wa chakula

WAMILIKI wa viwanda na wafanyabiashara wa vyakula wameshauriwa kutumia maabara ya kisasa ya kupimia ubora wa chakula ya Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda (TIRDO).

 

10 years ago

Habarileo

Maabara ya kupima ubora wa bidhaa kujengwa Dar

UJENZI wa maabara kubwa ya kisasa ya kupima ubora wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini utaanza karibuni Ubungo, Dar es Salaam, kwa msaada wa Serikali ya China. Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mussa Uledi alisema, maabara hiyo itakayogharimu Sh bilioni 10, itamaliza adha mbalimbali za kimaabara zinazojitokeza, ikiwemo kuwekwa sakafuni kwa sampuli zisizostahili kuwekwa chini kama vile vyakula.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania yapata maabara ya kipekee

Tanzania imepata maabara inayoweza kuhamishwa kutoka eneo moja hadi jingine ambayo itasaidia kukabiliana na maradhi ya mlipuko kama vile Ebola.

 

9 years ago

Mwananchi

Nimr yapata maabara inayohamishika

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), imezindua maabara inayohamishika ya uchunguzi wa magonjwa hatari iliyogharimu Sh120 milioni.     

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana alipokagua maabara yenye ubora wa nyota mbili hospitali ya rufaa Mtwara

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

IMG_3728

Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara.

 Kifaa cha maabara chenye uwezo wa kupima Kifua Kikuu sugu.

 Kinana akiakagua stoo ya kuhifadhia dawa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili yapata CT Scan mpya

Serikali imeanza kufunga mashine mpya ya vipimo ya CT Scan kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo la upungufu wa vifaa tiba.

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani